Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Amka amka Africa toka usingiziniIbrahimTraore anatufunulia wa Africa, anawaonyesha waafrika kwamba viongozi wetu wanatuchezea akili, (sharubu)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amka amka Africa toka usingiziniIbrahimTraore anatufunulia wa Africa, anawaonyesha waafrika kwamba viongozi wetu wanatuchezea akili, (sharubu)
Wapumbavu, upumbavu ni kipaji unakuta mtu amebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi wake, a.k.a kujizima dataTukiri Africa tunaongozwa na watu wajinga sn, wamejaa tamaa, anasa, wizi na ushirikina tupu
Nchi imejaa matumizi makubwa ya anasa na misafara ya kijinga kabisa utadhani tupo vitaniMikopo ni biashara ya kupatia 10% robo tatu ya pesa za mikopo zinarudishwa nje kufichwa kwenye mabenk yao na wezi wa Africa na hili sio kwamba hawajui bali ni mkakati wa kuidumaza Africa itegemee misaaada izidi kuwa masikini.
Wamepigiwa sana kelele wakitaka kuisaidia Africa wakabidhi miradi wao wenyewe wasitoe pesa kama alivyofanya japani alijenga mwenyewe shule za msingi au madaraja maana akipewa mswahili ataenda nunua malori au mabus na sio kuzifikisha kwa walengwa
Hawezi tekeleza sababu kila mtu anafanya kazi kwa maelekezo ya boss, nchi inaendeshwa kwa maono ya Rais na siyo kwa utalaamuWapumbavu, upumbavu ni kipaji unakuta mtu amebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi wake, a.k.a kujizima data
Tena wanaofurahia kufanya hivyo kwasababu wanalipwa maposhoNchi imejaa matumizi makubwa ya anasa na misafara ya kijinga kabisa utadhani tupo vitani
Kila siku wapo kwenye semina na safari, matumizi ya hovyo kabisa na anasaTena wanaofurahia kufanya hivyo kwasababu wanalipwa maposho
Kwa nini wasijue? Wewe Huwa unalishwa na Trump?Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.
Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never
Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.
Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?
Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.
Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.
Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.
Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
Samia suluhu amekuwa akipewa udaktari wa heshima kila uchwao, sasa ni wakati wake wa kuonesha ana uwezo wa kuendesha nchi kwa kutumia resources zetu pasipo kutegemea mbereko za wazungu na wachina.Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.
Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never
Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.
Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?
Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.
Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.
Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.
Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
NAKAZIATukinyimwa misaaada tutakuwq wabunifu misaaada ulemaza
Hakuna mswahili anaeweza mletea maendeleo mswahili mwenzake.Nchi imejaa matumizi makubwa ya anasa na misafara ya kijinga kabisa utadhani tupo vitani
Kwani huyu maza ni mswahili au mwarabu?Hakuna mswahili anaeweza mletea maendeleo mswahili mwenzake.
Watu wanafursa na hawawezi kuzimaliza lkn hawatoi connection hata information kwa wengine
Na bado Choice Variables anajiandaa kutoa post ya kumsifia mama soonMimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.
Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never
Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.
Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?
Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.
Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.
Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.
Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
Kudos kwa Trump. Haya mambo yalipaswa kufanyika tangu miaka mingi, sasa tungekuwa na akili. Utasaidiaje watu wenye hela nyingi mpaka wanaweza kulipa millions kwa kila goli linalofungwa kwenye mechi ya mpira?Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.
Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never
Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.
Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?
Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.
Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.
Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.
Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
Kuacha wizi tu kunatosha kuziba pengo la misaadaTukinyimwa misaaada tutakuwq wabunifu misaaada ulemaza
Mswahili na wizi chai na sukariKuacha wizi tu kunatosha kuziba pengo la misaada