Kwa pesa gani serikali inayo? Kwani bajeti ya serikali % ngapi inatokana na mapato ya ndani?Silishwi na yeyote kama Kuna chanzo za Watoto zilikuwa za Msaada au madawa ya wagonjwa wa malaria,kifua Kikuu na ukimwi Serikali itaanza kulipia.
Hakuna msomi hapo ni uchawa tu.Akina Luca na rafiki zao kama ni wasomi wa nchi hii yafaa wakamatwe warudishwe kusoma chekechea kwa lazima.
Silishwi na yeyote kama Kuna chanzo za Watoto zilikuwa za Msaada au madawa ya wagonjwa wa malaria,kifua Kikuu na ukimwi Serikali itaanza kulipia.Ngoja tuone unalishwa au laa.
Linyangarakasha kama hilo ni la kuliacha tu.Akina Luca na rafiki zao kama ni wasomi wa nchi hii yafaa wakamatwe warudishwe kusoma chekechea kwa lazima.
80% Watapumguza maeneo yasiyo muhimuKwa pesa gani serikali inayo? Kwani bajeti ya serikali % ngapi inatokana na mapato ya ndani?
Kama kukupa wewe ajira na ndugu zako80% Watapumguza maeneo yasiyo muhimu
Sawa tuu ,in fact misaada ya direct Kwa mwaka ni Trilioni 1 tu zingine ni Mapato yetu na mikopo so hakuna Beberu wa kutubabaisha ni tuna adjust tuu hapo vipaombele.Kama kukupa wewe ajira na ndugu zako
Tlaatlaah usimsahau mzee wa hovyoPia rafiki yake Mwashambwa Lucas Mwanshambya
Mpaka Sasa Bado Chini Ya CCM Tunazungumzia Maadui Wa Tanzania Ni :-Tukiri Africa tunaongozwa na watu wajinga sn, wamejaa tamaa, anasa, wizi na ushirikina tupu
Kwani hata hiyo misaada ilipokuwa inakuja iliwasaidia nini wananchi zaidi ya kununulia V8, kukimbiza moto/mwenge nchi nzima na kufanya matamasha KizimkaziMimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.
Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never
Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.
Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?
Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.
Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.
Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.
Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
... TANZANIA, DONER COUNTRY, HAITAYUMBA!Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.
Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never
Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.
Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?
Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.
Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.
Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.
Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
sema watapunguza kununua magari ya kifahari, pesa zikanunue dawa.Tukinyimwa misaaada tutakuwq wabunifu misaaada ulemaza
Wameongozeka sn wamekuwa 8Mpaka Sasa Bado Chini Ya CCM Tunazungumzia Maadui Wa Tanzania Ni :-
1. Umasikini
2. Ujinga
3. Maradhi
Trump Donald Anawaamsha Hawa Wa Kwetu
Trump amefanya jambo la maana sana.Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.
Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never
Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.
Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?
Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.
Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.
Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.
Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
Watu Wana roho mbaya sana Afrika hasahasa hawa wanaojiita waheshimiwa. Kutwa kwenye makanisa na misikitini wakitoa nasaha kumbe ni wahuni watupu.Hakuna mswahili anaeweza mletea maendeleo mswahili mwenzake.
Watu wanafursa na hawawezi kuzimaliza lkn hawatoi connection hata information kwa wengine
Yetu macho na masikio,na zile za kumwaga kwenye chafuzi tutaongea lugha zote hadi kichina.Silishwi na yeyote kama Kuna chanzo za Watoto zilikuwa za Msaada au madawa ya wagonjwa wa malaria,kifua Kikuu na ukimwi Serikali itaanza kulipia.