Trump amechomoa betri ghafla, serikali za Afrika zenye viongozi walioshindwa kutumia rasilimali za nchi zao hawajui nini wafanye

Silishwi na yeyote kama Kuna chanzo za Watoto zilikuwa za Msaada au madawa ya wagonjwa wa malaria,kifua Kikuu na ukimwi Serikali itaanza kulipia.
Kwa pesa gani serikali inayo? Kwani bajeti ya serikali % ngapi inatokana na mapato ya ndani?
 
Waafrika sijui ni lini tutaamka usingizini
kika kitu mpaka tusaidiwe na misaada tunayopewa inapigwa na wahuni wachache..
Nampongeza Trump akaze zaidi akili zikae sawa!
 
Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.

Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never

Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.

Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?

Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.

Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.

Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.

Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
Kwani hata hiyo misaada ilipokuwa inakuja iliwasaidia nini wananchi zaidi ya kununulia V8, kukimbiza moto/mwenge nchi nzima na kufanya matamasha Kizimkazi
 
Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.

Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never

Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.

Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?

Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.

Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.

Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.

Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
... TANZANIA, DONER COUNTRY, HAITAYUMBA!
SAGA CHUPA UNYWE!
😅
I
la KENYA inaponzwa na Obama Ambaye ni hasimu mkubwa wa TRUMP! :AweeWoo:
 
Mpaka Sasa Bado Chini Ya CCM Tunazungumzia Maadui Wa Tanzania Ni :-
1. Umasikini
2. Ujinga
3. Maradhi

Trump Donald Anawaamsha Hawa Wa Kwetu
Wameongozeka sn wamekuwa 8
4. Uchawa
5. Yanga na Simba
6. Betting
7. Ushirikina
8. Lucas Mwashambwa
 
Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.

Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never

Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.

Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?

Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.

Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.

Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.

Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
Trump amefanya jambo la maana sana.
 
Back
Top Bottom