Miki123
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 289
- 503
Trump ameamua kujaribu kuhamisha mjadala wa vifo vya wamarekani 5,112 waliokufa na Corona kwa kuitishia Iran.
Trump, kwenye akaunti ya tweeter amedai kuwa Iran na mawakala wake wanapanga kushambulia majeshi ya Marekani nchini Iraq
Trump ameshindwa kabisa kupambana na Corona sasa ameamua ahamie kwenye propaganda na Iran
Na sasa ameamua kulitumia jeshi la marekani pia kuzimisha mjadala wa Corona.