Trump amehamisha magoli ya vifo vya Corona kwa kuitisha Iran

Trump amehamisha magoli ya vifo vya Corona kwa kuitisha Iran

Hii ni kauli thabit kabisa kutoka kwa serikali ya iran
Don’t be mislead by usual warmongers, AGAIN, @realDonaldTrump:

Iran has FRIENDS: No one can have MILLIONS of"proxies"

Unlike the US—which surreptitiously lies, cheats & assassinates—Iran only acts in self-defense. Openly

Iran starts no wars, but teaches lessons to those who do


Zarif kaongea

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Turampet hajawahi kujitambua wala kua na akili kama sio washauri wake wanaomzunguka angeifanya US kama kichaka flani hv
nabado hao washauri wanapata mateso sana maana yumkini wanamshauri kichaa jamaa anatakiwa afanyiwe chek up ya akili kuna namna

Sent using My COVID-19
😂😂😂 Wewe ndo unatakiwa upimwe akili, make si bure akili yako kuona limtu lenye mafanikio kuliko wananchi wote wa nchi yako halina akili. Inabidi tu ujue limtu lolote lenye mafanikio kuliko ukoo wako wote jua hili Lina akili kuliko wewe na ukoo wako. Na ndo maana kila siku unayasifia hapa maajemi si kwamba yanajua sana kunywa chai bali ni kwa mafanikio yao. Trump ndo Rais anayeongoza watu wenye akili kubwa wengi duniani kuliko rais yoyote yule, Tena taifa lenyewe la watu na vyombo vyenye Uhuru lakin kwa kuwa jamaa ni akili kubwa hadi leo anapeta
 
Back
Top Bottom