Trump amehamisha magoli ya vifo vya Corona kwa kuitisha Iran

Miki123

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
289
Reaction score
503
Trump ameamua kujaribu kuhamisha mjadala wa vifo vya wamarekani 5,112 waliokufa na Corona kwa kuitishia Iran.
Trump, kwenye akaunti ya tweeter amedai kuwa Iran na mawakala wake wanapanga kushambulia majeshi ya Marekani nchini Iraq


Trump ameshindwa kabisa kupambana na Corona sasa ameamua ahamie kwenye propaganda na Iran
Na sasa ameamua kulitumia jeshi la marekani pia kuzimisha mjadala wa Corona.

 
Turampet hajawahi kua na akili

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina uhakika hilo jamaa unalosema halina akili linakuzidi mbali mno kwa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unahisi kila alokuzidi kila kitu ndio ana akili basi pole sana watu wanafikia mpaka kuua ili wapate pesa hizo akili !?

Kijana kijana kijana

Sent using My COVID-19
 
Don’t be mislead by usual warmongers, AGAIN, @realDonaldTrump:

Iran has FRIENDS: No one can have MILLIONS of"proxies"

Unlike the USβ€”which surreptitiously lies, cheats & assassinatesβ€”Iran only acts in self-defense. Openly

Iran starts no wars, but teaches lessons to those who do


Zarif kaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mohammed javad Zarif huwa namuelewa mnoooo
Bonge moja la mwanadiplomasiaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unahisi kila alokuzidi kila kitu ndio ana akili basi pole sana watu wanafikia mpaka kuua ili wapate pesa hizo akili !?

Kijana kijana kijana

Sent using My COVID-19
Vp unakimbilia kwenye pesa! Kwa kuwa umeona jamaa ni bilionea na wewe jeronea!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Nimesema linakuzidi kila kitu, kama Jiwe anayekutawala wewe kwa liTrump mpuuzi fulani tu, je wewe ambaye hata kwa Humphrey Polepole unasubiri kwa liTrump itakuwaje?!
 
Hili zee some time Kama linavuta bangi...!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elezea ueleweke. Kamzidi kwa kitu gani hasa? Mbona hueleweki? Kila kitu ndiyo nini hicho?
 
Turampet hajawahi kujitambua wala kua na akili kama sio washauri wake wanaomzunguka angeifanya US kama kichaka flani hv
nabado hao washauri wanapata mateso sana maana yumkini wanamshauri kichaa jamaa anatakiwa afanyiwe chek up ya akili kuna namna

Sent using My COVID-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…