Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kwani bibilia ni kitabu cha Mungu au cha Paulo, afu Yesu nani kawambia ni Mungu. Nyie mnamuabudu mtu alikuwepo kabla ya Yesu anaitwa Kristo hata Yesu kazaliwa B.C kwa miaka 4 au 6.Salaam, Shalom,
Akisubiri kuapishwa, Rais Mteule Donald Trump ameapa kuirudisha tena BIBLIA Marekani, amedai BIBLIA na wahubiri walikuwa wakitishwa kuhubiri au kusoma BIBLIA hadharani, jambo hili lilichangia kuharibu Maadili ya watu wa Marekani.
Huyu ni Rais wa Nchi aliyechaguliwa kuongoza Nchi na makundi yote, wenye dini na wasio na Dini, lakini Yeye hakujikita katika Dini Bali katika kuwafanya watu kumwamini Mungu aliyeandikwa ndani ya BIBLIA.
Je ingekuwa jambo hili amesema kiongozi mkuu Nchi ya maziwa makuu, jambo hili lisingetafsiriwa kama kuchanganya dini na siasa?
Mungu ibariki Marekani,
Mungu Mbariki D. Trump,
Mungu ibariki BIBLIA ( Neno lako).
Ameen
Karibuni 🙏
PIA SOMA
- Trump atoa biblia yake. Ina bendera na katiba ya US pamoja na mwimbaji ampendae
Wewe utakua ni mgeni na MarekaniSiku watu wakijua michezo ya Siasa hawatoshangazwa kabisa na habari kama hizi,
Yani Marekani wamepitisha mambo ya hovyo baada ya kuona athari zimekuwa kubwa zaidi ya ilivyotarajiwa wamemleta mtu ambaye anaweza kupunguza baadhi ya athari.... na Mzunguko utaendelea hivyo Miaka kwa miaka.
kaseme hivi kwa waislam kama hutosomewa fatwaHii ni religious masturbation tu.
Fatwa haibadilishi ukweli, kama kitu ni religious masturbation kitabaki hivyo tu.kaseme hivi kwa waislam kama hutosomewa fatwa
Vita vitapoa Kwa muda wote atakaokuwa madarakani.Sasa itakuwaje kuhusu Ayatollah na wafuasi wake?
Trump ni mlokole mzungu,tajiri tena RaisNilipost kuhusu hili jambo Jana. Atheist walipinga
Baba wa Yesu kimwili nani?Kwani bibilia ni kitabu cha Mungu au cha Paulo, afu Yesu nani kawambia ni Mungu. Nyie mnamuabudu mtu alikuwepo kabla ya Yesu anaitwa Kristo hata Yesu kazaliwa B.C kwa miaka 4 au 6.
Kwa hio taifa teule ni marekani saiv sio Israel tena ?Salaam, Shalom,
Akisubiri kuapishwa, Rais Mteule Donald Trump ameapa kuirudisha tena BIBLIA Marekani, amedai BIBLIA na wahubiri walikuwa wakitishwa kuhubiri au kusoma BIBLIA hadharani, jambo hili lilichangia kuharibu Maadili ya watu wa Marekani.
Huyu ni Rais wa Nchi aliyechaguliwa kuongoza Nchi na makundi yote, wenye dini na wasio na Dini, lakini Yeye hakujikita katika Dini Bali katika kuwafanya watu kumwamini Mungu aliyeandikwa ndani ya BIBLIA.
Je ingekuwa jambo hili amesema kiongozi mkuu Nchi ya maziwa makuu, jambo hili lisingetafsiriwa kama kuchanganya dini na siasa?
Mungu ibariki Marekani,
Mungu Mbariki D. Trump,
Mungu ibariki BIBLIA ( Neno lako).
Ameen
Karibuni 🙏
PIA SOMA
- Trump atoa biblia yake. Ina bendera na katiba ya US pamoja na mwimbaji ampendae
Yesu kazaliwa na Mama mnamuita mungu .,haya huyo Adamu ambae hana baba wala Mama mtamuita Nani?Baba wa Yesu kimwili nani?
Yesu ni Mungu,Hana baba wala mama,
Ndiye huyo huyo Baba, mwana na Roho MTAKATIFU.
Ikiwa huamini Hilo, unaamini usichokijua.
Wewe ambaye ni mwenyeji unaishi wapi hapo marekani?Wewe utakua ni mgeni na Marekani
View attachment 3150853
Marekani hajatajwa kwenye BIBLIA, hivyo ujue Israel ndiyo marekani behind the scenes.Kwa hio taifa teule ni marekani saiv sio Israel tena ?
Ila sishangai kama hata vitabu vyenu mnatoa agano jipya bhc hata taifa teule jipya fresh tuh
Yesu Hana mama Wala baba, ni Mungu huyo.Yesu kazaliwa na Mama mnamuita mungu .,haya huyo Adamu ambae hana baba wala Mama mtamuita Nani?