Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani (Marekani ni Taifa la Mungu)

Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani (Marekani ni Taifa la Mungu)

Marekani ni chanzo cha Uchafu mwingi duniani,,,,vimiaka vinne tu havitabadirisha upuuzi na uchafuzi wa marekani duniani.
Unadhani Marekani ni sawa na Tanzania? Akifanikiwa kupitisha hili maana yake rais yeyote atakayeingia madarakani lazima akubaliane na hili! Labda na yeye afanye mchakato wa kuliondoa toka kwa katiba yao!
 
Madikteta Huwa wanapenda kujificha kwenye mwavuli wa dini..,limagufuli lilikuwa linapenda kumtaja mungu kila sekunde na kwenda kanisani Tena mbele ya camera,kumbe nyuma ya pazia ni liuaji likubwa!
Unaweseka Kwa sababu ya Ukraine yako .God bless Trump and USA
 
Kwani bibilia ni kitabu cha Mungu au cha Paulo, afu Yesu nani kawambia ni Mungu. Nyie mnamuabudu mtu alikuwepo kabla ya Yesu anaitwa Kristo hata Yesu kazaliwa B.C kwa miaka 4 au 6.
Hujui chochote mvaa kobazi,,,Imani ya kikirsto tuachie wennyewe,we angalia na mh,moh' baltazar
 
Hujui chochote mvaa kobazi,,,Imani ya kikirsto tuachie wennyewe,we angalia na mh,moh' baltazar
Mtengeneza majina 30+ we huo wakati wa kutengeneza majina nakushauri utumie kuisoma hio bibilia yenu ya uwongo, kuna wakati wandishi hao Mark, Matthew, John na Luke walikuwa wanajikanyaga. Ukisoma vizuri kuna point nyingi zitakufanya uingie uislam sababu Paulo alichelewa kuzifuta 😄

Tukirudi kwenye mada US na Israel wanapoteza wakati wao bure kuibenbeleza serekali ya Lebanon wakubali masharti ya Israel na US kwa kuwahidi wakikubali kupeleka jeshi la Lebanon South na kuzivunja silaha za Hezbullah watawapa mabillion 🤣 Mimi nawaona wajinga sana vita vya Lebanon havisimami bila Hezbullah kusema Yes, sio US au Israel wanaubavu wakupitisha maombi yao watakavyo.
 
Kwa hio taifa teule ni marekani saiv sio Israel tena ?
Ila sishangai kama hata vitabu vyenu mnatoa agano jipya bhc hata taifa teule jipya fresh tuh
Ila nyie watu wa Mnyaazi Mungu mnazingua sana. Nini kinafanya upondee Ukristo? Naona wengi wenu mnapenda sana kutoa maneno ya kejeli kwenye Christianity. Mnadhani mko perfect
Kwanza nyinyi mnatuharibia kila utamaduni hapa Africa, hadi lugha pia. Elimu mnaita ilmu, Shetani mnaita Shetwani, mwiahiwe getini mtaanza kuita getwini. Bado mnafundisha watoto ubaguzi wawe wanawaita Waafrika mwenzao Makafiri shuleni. Na bado mkija mitandaoni kazi ni kukejeli tu Ukristo. Au mnafeel inferior maana tupo wengi?
 
Back
Top Bottom