Trump amezindua manukato hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social

Trump amezindua manukato hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social

City Of Lies

Platinum Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
6,073
Reaction score
7,997
Rais wa Marekani Donald Trump amezindua rasmi manukato mapya ya kifahari kwa wanaume na wanawake.

Trump amezindua manukato hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social na yamepewa jina la “Trump Fragrances – Victory 45-57.”

Kila chupa iliyo na umbo la sanamu ya Trump akiwa amevaa suti, inauzwa kwa dola 249 ambayo ni sawa na shilingi 650,000 za Tanzania.
1751563064380.jpg
dwkiswahili
 
Mods naomba title isomeke Trump azindua manukato yake
 
Rais wa Marekani Donald Trump amezindua rasmi manukato mapya ya kifahari kwa wanaume na wanawake.

Trump amezindua manukato hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social na yamepewa jina la “Trump Fragrances – Victory 45-57.”

Kila chupa iliyo na umbo la sanamu ya Trump akiwa amevaa suti, inauzwa kwa dola 249 ambayo ni sawa na shilingi 650,000 za Tanzania. View attachment 3393010dwkiswahili
Perfume ya baba baiskeli za mama
 
Back
Top Bottom