City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
Anatumia Ofisi ya umma kujinufaishaSerikali ya Marekani imekuwa kama ghetto la wahuni
Ngoja tuone reaction ya wamarekani.Anatumia Ofisi ya umma kujinufaisha
Hawatamuacha, labda kama anafanya kwa ajili ya foundation ataponaNgoja tuone reaction ya wamarekani.
Ngoja tuoneHawatamuacha, labda kama anafanya kwa ajili ya foundation atapona
Perfume ya baba baiskeli za mamaRais wa Marekani Donald Trump amezindua rasmi manukato mapya ya kifahari kwa wanaume na wanawake.
Trump amezindua manukato hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social na yamepewa jina la “Trump Fragrances – Victory 45-57.”
Kila chupa iliyo na umbo la sanamu ya Trump akiwa amevaa suti, inauzwa kwa dola 249 ambayo ni sawa na shilingi 650,000 za Tanzania. View attachment 3393010dwkiswahili