Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Unaweza kusema kuwa sasa nyota ya Kenya inazidi kuwaka kuelekea kuimarisha uchumi wao. Hii yote inatokana na rais wa nchi yao kuwa karibu sana na Rais wa dunia yaani rais wa USA [emoji1259].
Wenzetu nawaona kama wanakimbia zile mbio za nyika ambazo kwao kila mashindano ya dunia huwa ni washindi tu.
Mwezi wa nne mwaka huu wakenya watakuwa na ugeni mkubwa sana kwa kumpokea rais Trump.
Ushahidi wa haya someni hapo chini, isiwe kesi sisi Kagame anatutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app