Trump amsifia sana Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Trump amsifia sana Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Nimefurahi sana kwa kuligundua hilo
Kweli zama zetu zimeisha


Jumla ya Ma Rais wa Marekan waliotembelea Africa wakiwa Madarakan ni watatu, Clinton, Bush na Obama

Hakuna Safari ambayo walikuja Africa bila ya kuzuru Tanzania

Hata Obama alipoingia Madaran basi Muungwana wa Msoga ndie alikuwa Rais wa Kwanza kualikwa Kwa State visit

Role ya JK kimataifa imeibiwa na Kenyata

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna jipya , mwanadamu hata akusifie vipi bado atakugeuka tu

sent from toyota Allex
 
Unaweza kusema kuwa sasa nyota ya Kenya inazidi kuwaka kuelekea kuimarisha uchumi wao. Hii yote inatokana na rais wa nchi yao kuwa karibu sana na rais wa dunia yaani rais wa USA [emoji1259].

Wenzetu nawaona kama wanakimbia zile mbio za nyika ambazo kwao kila mashindano ya dunia huwa ni washindi tu.

Mwezi wa nne mwaka huu wakenya watakuwa na ugeni mkubwa sana kwa kumpokea rais Trump.

Ushahidi wa haya someni hapo chini, isiwe kesi sisi Kagame anatutosha. View attachment 1351105

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tweet mbona haipo? Umeiokota wapi?
 
Back
Top Bottom