Trump amsifia sana Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Trump amsifia sana Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Kweli zama zetu zimeisha


Jumla ya Ma Rais wa Marekan waliotembelea Africa wakiwa Madarakan ni watatu, Clinton, Bush na Obama

Hakuna Safari ambayo walikuja Africa bila ya kuzuru Tanzania

Hata Obama alipoingia Madaran basi Muungwana wa Msoga ndie alikuwa Rais wa Kwanza kualikwa Kwa State visit

Role ya JK kimataifa imeibiwa na Kenyata

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na wasi wasi mzee; Marekani ya Trump ya leo ile ya hao marais uliotaja. Sehemu nyingi za dunia haziiheshimu Marekani tena kama ilivyokuwa zamani. Viongozi wengine wengi wameshamajua kuwa Trump ni kama mtoto wa shule ya msingi tu aliye na powere ambazo hata hajui ziyo tu jinsi yakuzitumia balia pia hajui mipaka yake. Ndiye rais pekee anaweyeza kutlalamaika hadharanai kuwa bendera za nchi ziliruka nusu mlingoti kwa ajili ya msiba wa seneta au congressman fulani lakini ndugu za marehemu hawakunishukuru! jamaa huyo hapo alipo hajui hata Kenya ipo sehemu gani ya Africa na wala hajui historia ya Kenya kwa sababu huwa hasomi!
 
Inaonekana kwamba amekubali kwenda Kenya baada ya kukutana na Uhuru ana kwa ana na kumsifia kuhusu personality yake. Inaonyesha umuhimu mkubwa wa kuwa na rais mwenye uwezo wa diplomasia.

Inasaidia nni, hata enzi za kikwete alikuja obama mkasafisha na mabarabara lakini hakuna njaa iliyoisha, hakuna mzungu anataka nyie muwe kama wao, bali wao ni kututumia kama ngazi zao, kama wanataka nasi tufaidi uchumi waje wanunue bidhaa zetu kwa bei zetu ili tujitegemee tuwe sawa.
Sifa upewe kisha wao wapitishe mabomu na mabundiki na vita ipiganwe kwenye nchi yako wao huko wanalala usingizi eti diplomasia?
 
Rais wa Marekani uwa atembelei nchi zisizo za kidemocrasia. kipindi kile Kikwete alipo boresha democrasia obama akaja. kuna shida sana kwenye democrasia africa mashariki ukiondoa Kenya.
Museveni Hilo neno democracy ni vocabulary kwake
 
Sasa akija anachuchumaaje kwenye shit hole wajameni.ngoja na sisi tuchoronge ethane yetu bajeti itakaa sawa tu. Tutashirikiana na yeyote anaejali maslahi yetu.
 
Trump hua anawakia kwenye gia. Leo anaweza kukusifu ila kesho ukizingua kidogo anakugeuka dk sifuri.. Nikikumbuka alivokua anawasifia John Bolton na James Comey na baadae alivowageuka hua nasema huyu mwamba usijekumuwekea dhamana
 
Uhuru is really a good leader otherwise with Raila we could find out miracles.

Yet Kenya under his excellency Uhuru Kenyatta is becoming stronger more and more.
True uhuru is a great leader, you will suffer once a Raila or Roto rules you, you are better of with a president from NE at least watafungua biashara nyingi sana na watu wengi watapata kazi, vitu cutakuwa rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom