Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Inauma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi Lissu naye hajasifiwa?Unaweza kusema kuwa sasa nyota ya Kenya inazidi kuwaka kuelekea kuimarisha uchumi wao. Hii yote inatokana na rais wa nchi yao kuwa karibu sana na rais wa dunia yaani rais wa USA [emoji1259].
Wenzetu nawaona kama wanakimbia zile mbio za nyika ambazo kwao kila mashindano ya dunia huwa ni washindi tu.
Mwezi wa nne mwaka huu wakenya watakuwa na ugeni mkubwa sana kwa kumpokea rais Trump.
Ushahidi wa haya someni hapo chini, isiwe kesi sisi Kagame anatutosha. View attachment 1351105
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu wa nini sasa wakati yule mwingine akisafiri sana ni hapo Chattle kwenda kudeka kwa Mama!😂😂😂🤣🤣🤣Kwa hiyo unataka Raisi Magufuli asikie wivu? Hivi ninyi watu ni lini mtamature na kuwa watu wazima? Mambo ya kuchonganisha Wanaume wawili ni ya watoto wadogo na Wanawake, ndo maana JF imejaa malalamiko kila siku mnaachwa na Wanawake.
Hongera zake.
Unatuaminisha kwamba Trump atasaidia kuimarisha uchumi wa Kenya?
JK alikua mwanadiplomasia hasa huwezi kulinganisha na huyu mkolomijeKweli zama zetu zimeisha
Jumla ya Ma Rais wa Marekan waliotembelea Africa wakiwa Madarakan ni watatu, Clinton, Bush na Obama
Hakuna Safari ambayo walikuja Africa bila ya kuzuru Tanzania
Hata Obama alipoingia Madaran basi Muungwana wa Msoga ndie alikuwa Rais wa Kwanza kualikwa Kwa State visit
Role ya JK kimataifa imeibiwa na Kenyata
Sent using Jamii Forums mobile app
Trump haaminiki huyo, anayemuamini ayasemayo ana mtindio wa ubongo si bureUnaweza kusema kuwa sasa nyota ya Kenya inazidi kuwaka kuelekea kuimarisha uchumi wao. Hii yote inatokana na rais wa nchi yao kuwa karibu sana na rais wa dunia yaani rais wa USA [emoji1259].
Wenzetu nawaona kama wanakimbia zile mbio za nyika ambazo kwao kila mashindano ya dunia huwa ni washindi tu.
Mwezi wa nne mwaka huu wakenya watakuwa na ugeni mkubwa sana kwa kumpokea rais Trump.
Ushahidi wa haya someni hapo chini, isiwe kesi sisi Kagame anatutosha. View attachment 1351105
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo na Tanzania.Unaweza kusema kuwa sasa nyota ya Kenya inazidi kuwaka kuelekea kuimarisha uchumi wao. Hii yote inatokana na rais wa nchi yao kuwa karibu sana na rais wa dunia yaani rais wa USA [emoji1259].
Wenzetu nawaona kama wanakimbia zile mbio za nyika ambazo kwao kila mashindano ya dunia huwa ni washindi tu.
Mwezi wa nne mwaka huu wakenya watakuwa na ugeni mkubwa sana kwa kumpokea rais Trump.
Ushahidi wa haya someni hapo chini, isiwe kesi sisi Kagame anatutosha. View attachment 1351105
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru is really a good leader otherwise with Raila we could find out miracles.
Yet Kenya under his excellency Uhuru Kenyatta is becoming stronger more and more.
Kumbuka kuwa hayo ni mapambano ambayo kimsingi ni mchakatokwaio tutarajie al-shabab bai bai kwa vile tu neno terrorism limetajwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajamaa ni kajinga sana!
Nenda kaangalie wakenya wanvyoteseka na njaa kisha njoo tena na hizi sifa zako za kishabiki.
Kwanza Trump na marekani wanaitumia Kenya kwasababu ya Somalia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana kwamba amekubali kwenda Kenya baada ya kukutana na Uhuru ana kwa ana na kumsifia kuhusu personality yake. Inaonyesha umuhimu mkubwa wa kuwa na rais mwenye uwezo wa diplomasia.
Zitto kabwe una tabu sana sasa mtu kumsifia mtu si mambo ya kawaida kama ana maslahi nae!
Rais wa Marekani uwa atembelei nchi zisizo za kidemocrasia. kipindi kile Kikwete alipo boresha democrasia obama akaja. kuna shida sana kwenye democrasia africa mashariki ukiondoa Kenya.
Kwa hiyo unataka Raisi Magufuli asikie wivu? Hivi ninyi watu ni lini mtamature na kuwa watu wazima? Mambo ya kuchonganisha Wanaume wawili ni ya watoto wadogo na Wanawake, ndo maana JF imejaa malalamiko kila siku mnaachwa na Wanawake.
Na likely akatunguliwa huko na wasomali
Ameichongea Kenya kwa alshabab...soon you here boom! More Kenyans dead !kwaio tutarajie al-shabab bai bai kwa vile tu neno terrorism limetajwa?
Sent using Jamii Forums mobile app