Inaonekana kwamba amekubali kwenda Kenya baada ya kukutana na Uhuru ana kwa ana na kumsifia kuhusu personality yake. Inaonyesha umuhimu mkubwa wa kuwa na rais mwenye uwezo wa diplomasia.Unaweza kusema kuwa sasa nyota ya Kenya inazidi kuwaka kuelekea kuimarisha uchumi wao. Hii yote inatokana na rais wa nchi yao kuwa karibu sana na rais wa dunia yaani rais wa USA [emoji1259].
Wenzetu nawaona kama wanakimbia zile mbio za nyika ambazo kwao kila mashindano ya dunia huwa ni washindi tu.
Mwezi wa nne mwaka huu wakenya watakuwa na ugeni mkubwa sana kwa kumpokea rais Trump.
Ushahidi wa haya someni hapo chini, isiwe kesi sisi Kagame anatutosha. View attachment 1351105
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto kabwe una tabu sana sasa mtu kumsifia mtu si mambo ya kawaida kama ana maslahi nae!Unaweza kusema kuwa sasa nyota ya Kenya inazidi kuwaka kuelekea kuimarisha uchumi wao. Hii yote inatokana na rais wa nchi yao kuwa karibu sana na rais wa dunia yaani rais wa USA [emoji1259].
Wenzetu nawaona kama wanakimbia zile mbio za nyika ambazo kwao kila mashindano ya dunia huwa ni washindi tu.
Mwezi wa nne mwaka huu wakenya watakuwa na ugeni mkubwa sana kwa kumpokea rais Trump.
Ushahidi wa haya someni hapo chini, isiwe kesi sisi Kagame anatutosha. View attachment 1351105
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mwezi wa nne anatua Kenya