Trump amsifia sana Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Trump amsifia sana Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Sasa kumsifia kiongozi wa africa au kenya inaisaidia nini? Wananchi wa kibera pale? Hii siyo story lazima tujikomboe ktk fikra zetu maana zimetawaliwa sana
Hakuna aliyemsifia hata, hiyo tweet ni feki imetengenezwa kwa ajili ya kuwadanganya wajinga kama huyu aliye fungua huu uzi 😂😂😂 ingia kwenye account yake kama utakuta huu uchafu.
 
Hakuna aliyemsifia hata, hiyo tweet ni feki imetengenezwa kwa ajili ya kuwadanganya wajinga kama huyu aliye fungua huu uzi 😂😂😂 ingia kwenye account yake kama utakuta huu uchafu.
Hata ingekuwa kweli sioni logic ya kuona ni story,ni kaujinga kawaafrika tu
 
Upuuzi wa hali ya Juu

Unasifia Ujinga na Balaa....?!!!!!

Lini Mzungu akamuokoa Mwafrika katika Uchumi?!

Kisha

Mwambieni Trump,abadili kauli yake pale aliposema

Africa ni Shithall,aiondoe Kenya katika hili....!!!!!
Unaweza kusema kuwa sasa nyota ya Kenya inazidi kuwaka kuelekea kuimarisha uchumi wao. Hii yote inatokana na rais wa nchi yao kuwa karibu sana na Rais wa dunia yaani rais wa USA [emoji1259].

Wenzetu nawaona kama wanakimbia zile mbio za nyika ambazo kwao kila mashindano ya dunia huwa ni washindi tu.

Mwezi wa nne mwaka huu wakenya watakuwa na ugeni mkubwa sana kwa kumpokea rais Trump.

Ushahidi wa haya someni hapo chini, isiwe kesi sisi Kagame anatutosha. View attachment 1351105

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajamaa ni kajinga sana!

Nenda kaangalie wakenya wanvyoteseka na njaa kisha njoo tena na hizi sifa zako za kishabiki.

Kwanza Trump na marekani wanaitumia Kenya kwasababu ya Somalia.

Sent using Jamii Forums mobile app

rais ndio anawapa chakula raia ? kenya uchumi wao upo vizuri pesa ipo mtaani kama vile tz awamu ya nne ukifa njaa ni uzembe wako

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa hiyo unataka Raisi Magufuli asikie wivu? Hivi ninyi watu ni lini mtamature na kuwa watu wazima? Mambo ya kuchonganisha Wanaume wawili ni ya watoto wadogo na Wanawake, ndo maana JF imejaa malalamiko kila siku mnaachwa na Wanawake.

mkuu nimesikitika sana niliposoma comment yako, una tatizo mahali

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naona bado upo usingizini sana, yaani kwa taarifa yako bila kushirikiana na hao walio endelea kiuchumi kamwe hamuwezi kusonga hata kwa dama.

Sent using Jamii Forums mobile app

We ndo bado kabisa hujui maana ya kushirikiana, sisi tunashilikiswa sio tunashirikiana, na ndo maana tuanpewa masharti kila siku ili hali sisi hatuwapi masharti. Kila kitu tunapangiwa,
 
Kilaza wewe huna Akili, that so called terrorism hapo Somalia is there to destabilize Somalia kwa maslahi mapana ya US and his allies, to make it easy Kenya inatumika na , I know this is out of your scope as your head circumference is too small as your Leaders.
Only innocent Kenyans suffer and and you fool unaanika upumbavu na ufinyu wa mawazo yako hapa.
Kwahiyo wakifa wewe unafarijika kitu gani maishani mwako?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The announcement came while the U.S.-Kenya Trade and Investment Working Group held its third meeting in Washington this week.

The Working Group, established by Trump and Uhuru in August 2018, is laying the groundwork for a stronger bilateral trade relationship.

Other outcomes of the third meeting of the Trade and Investment Working Group include the following:

Adoption of a phytosanitary protocol by Kenya that allows American wheat growers in Washington State, Oregon, and Idaho access to Kenya’s $470 million dollar wheat market for the first time in over a decade.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiamua nami nikutukane sidhani kama tutakuwa tunawatendea wachangiaji wa huu uzi, ila nimekudharau sana na bado ukweli unabakia kuwa rais wa USA [emoji1259] kamsifia rais wa Kenya [emoji1139] mh Uhuru Kenyatta
Kilaza wewe huna Akili, that so called terrorism hapo Somalia is there to destabilize Somalia kwa maslahi mapana ya US and his allies, to make it easy Kenya inatumika na , I know this is out of your scope as your head circumference is too small as your Leaders.
Only innocent Kenyans suffer and and you fool unaanika upumbavu na ufinyu wa mawazo yako hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa amesifia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa mbona mnalilia kupatiwa misaada kutoka kwa hao hao wazungu?

Hapo ni yupi hatumii akili kati yangu na wewe?

Back
Top Bottom