babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Ningekuwa naumia na mimi ningesha tengeneza fake tweet mda sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekuwa naumia na mimi ningesha tengeneza fake tweet mda sana.
Angesifiwa wetu kesho magazeti yangeseeeema. Ila katajwa jirani wamuita kibarakaA puppet..
Huyu jamaa yetu anazingua na serikali yetuKweli zama zetu zimeisha
Jumla ya Ma Rais wa Marekan waliotembelea Africa wakiwa Madarakan ni watatu, Clinton, Bush na Obama
Hakuna Safari ambayo walikuja Africa bila ya kuzuru Tanzania
Hata Obama alipoingia Madaran basi Muungwana wa Msoga ndie alikuwa Rais wa Kwanza kualikwa Kwa State visit
Role ya JK kimataifa imeibiwa na Kenyata
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unaleta kwangu hizo propaganda zako nakusaidia kuhariri kwanza.
Uwe unaleta kwangu hizo propaganda zako nakusaidia kuhariri kwanza.
Unadhani wewe pekee upo Twitter?
"A fruitful bilateral TALKS"
Ni English ya Ufipa tu,Rudi shule Elimu Ni bure!
Rubbish!
Angesifiwa wetu kesho magazeti yangeseeeema. Ila katajwa jirani wamuita kibaraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitasikitika sana !
Nadhani hukunielewa vyema.Inasaidia nni, hata enzi za kikwete alikuja obama mkasafisha na mabarabara lakini hakuna njaa iliyoisha, hakuna mzungu anataka nyie muwe kama wao, bali wao ni kututumia kama ngazi zao, kama wanataka nasi tufaidi uchumi waje wanunue bidhaa zetu kwa bei zetu ili tujitegemee tuwe sawa.
Sifa upewe kisha wao wapitishe mabomu na mabundiki na vita ipiganwe kwenye nchi yako wao huko wanalala usingizi eti diplomasia?
Nadhani hukunielewa vyema.
Hizo fikra za kijinga sina,yaani Rais wa taifa USA kumsifia kiongozi wa Africa ni prestige? Miafrica nmezidi uzuzu
Siumesikia Trump "menyewe" amesema i will honour his invitation (nitaheshimu mualiko wake)Kwa hiyo mwezi wa nne anatua Kenya
Hizo fikra za kijinga sina,yaani Rais wa taifa USA kumsifia kiongozi wa Africa ni prestige? Miafrica nmezidi uzuzu
Siumesikia Trump "menyewe" amesema i will honour his invitation (nitaheshimu mualiko wake)
Sasa kumsifia kiongozi wa africa au kenya inaisaidia nini? Wananchi wa kibera pale? Hii siyo story lazima tujikomboe ktk fikra zetu maana zimetawaliwa sanaSidhani kama hizo kashifa zako kwa waafrika wenzako zitauondoa ukweli kuwa rais wa USA [emoji1259] amemsifia rais wa Kenya [emoji1139].
Sent using Jamii Forums mobile app