babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Hakuna aliyemsifia hata, hiyo tweet ni feki imetengenezwa kwa ajili ya kuwadanganya wajinga kama huyu aliye fungua huu uzi 😂😂😂 ingia kwenye account yake kama utakuta huu uchafu.Sasa kumsifia kiongozi wa africa au kenya inaisaidia nini? Wananchi wa kibera pale? Hii siyo story lazima tujikomboe ktk fikra zetu maana zimetawaliwa sana
Hata ingekuwa kweli sioni logic ya kuona ni story,ni kaujinga kawaafrika tuHakuna aliyemsifia hata, hiyo tweet ni feki imetengenezwa kwa ajili ya kuwadanganya wajinga kama huyu aliye fungua huu uzi 😂😂😂 ingia kwenye account yake kama utakuta huu uchafu.
Halafu si alitukana wa africa wote kwa kuwaita shithole 😂😂😂 halafu wajinga bado wanamshobokea ili wapate misaada ya chakula.Hata ingekuwa kweli sioni logic ya kuona ni story,ni kaujinga kawaafrika tu
Unaweza kusema kuwa sasa nyota ya Kenya inazidi kuwaka kuelekea kuimarisha uchumi wao. Hii yote inatokana na rais wa nchi yao kuwa karibu sana na Rais wa dunia yaani rais wa USA [emoji1259].
Wenzetu nawaona kama wanakimbia zile mbio za nyika ambazo kwao kila mashindano ya dunia huwa ni washindi tu.
Mwezi wa nne mwaka huu wakenya watakuwa na ugeni mkubwa sana kwa kumpokea rais Trump.
Ushahidi wa haya someni hapo chini, isiwe kesi sisi Kagame anatutosha. View attachment 1351105
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga sana huuHalafu si alitukana wa africa wote kwa kuwaita shithole 😂😂😂 halafu wajinga bado wanamshobokea ili wapate misaada ya chakula.
Kajamaa ni kajinga sana!
Nenda kaangalie wakenya wanvyoteseka na njaa kisha njoo tena na hizi sifa zako za kishabiki.
Kwanza Trump na marekani wanaitumia Kenya kwasababu ya Somalia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakudanganya nani 😂😂😂 usilo lijua ni sawa sawa na usiku wa giza.kenya uchumi wao upo vizuri pesa ipo mtaani kama vile tz awamu ya nne ukifa njaa ni uzembe wako
Kwa hiyo unataka Raisi Magufuli asikie wivu? Hivi ninyi watu ni lini mtamature na kuwa watu wazima? Mambo ya kuchonganisha Wanaume wawili ni ya watoto wadogo na Wanawake, ndo maana JF imejaa malalamiko kila siku mnaachwa na Wanawake.
Naona bado upo usingizini sana, yaani kwa taarifa yako bila kushirikiana na hao walio endelea kiuchumi kamwe hamuwezi kusonga hata kwa dama.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimesikitika sana niliposoma comment yako, una tatizo mahali
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kilaza wewe huna Akili, that so called terrorism hapo Somalia is there to destabilize Somalia kwa maslahi mapana ya US and his allies, to make it easy Kenya inatumika na , I know this is out of your scope as your head circumference is too small as your Leaders.
Only innocent Kenyans suffer and and you fool unaanika upumbavu na ufinyu wa mawazo yako hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lait mngejua vikundi vyote vya kigaidi vipo funded na marekani, mtaishiwa nguvu asilani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakudanganya nani [emoji23][emoji23][emoji23] usilo lijua ni sawa sawa na usiku wa giza.
rais ndio anawapa chakula raia ? kenya uchumi wao upo vizuri pesa ipo mtaani kama vile tz awamu ya nne ukifa njaa ni uzembe wako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Upuuzi wa hali ya Juu
Unasifia Ujinga na Balaa....?!!!!!
Lini Mzungu akamuokoa Mwafrika katika Uchumi?!
Kisha
Mwambieni Trump,abadili kauli yake pale aliposema
Africa ni Shithall,aiondoe Kenya katika hili....!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu si alitukana wa africa wote kwa kuwaita shithole [emoji23][emoji23][emoji23] halafu wajinga bado wanamshobokea ili wapate misaada ya chakula.