Nikiamua nami nikutukane sidhani kama tutakuwa tunawatendea wachangiaji wa huu uzi, ila nimekudharau sana na bado ukweli unabakia kuwa rais wa USA [emoji1259] kamsifia rais wa Kenya [emoji1139] mh Uhuru Kenyatta
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti eeh,Wewe mwisho wako ni hapo mnadani, vuka mipaka uone watu wanavyo kula bata
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna haja ya kuaga ila naamini ukweli umeelewa kuwa kutukana siyo ujanja
Sent using Jamii Forums mobile app