Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Ni walewale tu Iran,Palestina, Afghanistan,Yemen,MisriAnaitwa nani, anaishi wapi, raia wa nchi gani?
Watu wengi mitandaoni wanasema ni dramaPlanned issue
Trump ni GENIUS
Hakuna yeyote anayetaka kumuua Trump, hizo zote n script zake zinaendelea kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa.Trump ajitafakari, simply amechokwa kwa sera zake za hovyo.
Rais mkurupukaji asiyejielewa. Kuwindwa toka wakati wa kampeni mpaka leo...
Wamarekani wanajuta kwa zile kura za huruma walizompa, "wanataka kumuua babu tumchague"
Trump hapendwi, maandamano ya kumpinga US kila wakati ni kipimo tosha. Sera zake mbovu kuanzia uhamiaji mpaka mahusiano na nchi za nje hazikubaliki na wengi.Hakuna yeyote anayetaka kumuua Trump, hizo zote n script zake zinaendelea kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
Wenye uwezo wa kumuua rais wa USA n lazima CIA wahusike
Anaitwa Cole Allen ni Mwalimu na Dini yake MKIRISTO
.
10 minutes ago
White House dinner shooting suspect was California teacher - CBS News
The man who opened fire outside the White House Correspondents' Dinner in Washington, where US President Donald Trump was attending, was identified as a California educator, CBS News reported on Saturday, citing law enforcement sources.
Cole Allen had worked as a teacher with C2 Education in Torrance, a tutoring service and was named “Teacher of the Month” in December 2024, according