Trump amtoa hadharani mtuhumiwa wa kupiga risasi ikulu ya Marekani

Trump amtoa hadharani mtuhumiwa wa kupiga risasi ikulu ya Marekani

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Anaitwa Cole Allen ni Mwalimu na Dini yake MKIRISTO
.

10 minutes ago
White House dinner shooting suspect was California teacher - CBS News

The man who opened fire outside the White House Correspondents' Dinner in Washington, where US President Donald Trump was attending, was identified as a California educator, CBS News reported on Saturday, citing law enforcement sources.

Cole Allen had worked as a teacher with C2 Education in Torrance, a tutoring service and was named “Teacher of the Month” in December 2024, according
 
Attachments

  • Screenshot_2026_0426_071328.jpg
    Screenshot_2026_0426_071328.jpg
    168.7 KB · Views: 31
  • Screenshot_2026_0426_085212.jpg
    Screenshot_2026_0426_085212.jpg
    111.8 KB · Views: 29
  • Screenshot_2026_0426_085151.jpg
    Screenshot_2026_0426_085151.jpg
    119.3 KB · Views: 34
False flag anaweza kutaka kuwaangushia zigo catholic kuwa wametaka kumuua au akawa analengo la kufifiza yale yote yanayo endelea baina ya USA na Iran ili watu waache kupay attention kwenye vita ili Wajitoe haraka kwenye hicho kikaango
 
Trump ajitafakari, simply amechokwa kwa sera zake za hovyo.

Rais mkurupukaji asiyejielewa. Kuwindwa toka wakati wa kampeni mpaka leo...

Wamarekani wanajuta kwa zile kura za huruma walizompa, "wanataka kumuua babu tumchague"
 
Hakuna yeyote anayetaka kumuua Trump, hizo zote n script zake zinaendelea kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
Wenye uwezo wa kumuua rais wa USA n lazima CIA wahusike
 
Mimi sikuwahi kutarajia kwamba teknolojia ni bomu kubwa kuliko la Atomic

Kupitia teknolojia binadamu wanawaza kwa kiwango kimoja karibia dunia yote kwa wakati mmoja.!

Shifting ya ufahamu duniani inawaduwaza watawala duniani wanabaki kudelemka tu

Hawajui cha kufanya.! hawakuandaliwa kwa mabadiliko haya ya ghafla duniani

Wanachokitengeneza kama matukio ya usikivu wakati huo yakiwa na ufanisi kwenye dunia yao ya giza leo hayana mashiko.! Tena kabisa

Kupitia teknolojia leo tunatambua hata raisi wa marekani ni mshamba kama washamba wengine

Ana upuuzi mwingi kuliko tume ya jaji Nyande sijui

Dunia imebadilika walimwengu ambataneni na muda
 
Hakuna yeyote anayetaka kumuua Trump, hizo zote n script zake zinaendelea kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
Wenye uwezo wa kumuua rais wa USA n lazima CIA wahusike
Trump hapendwi, maandamano ya kumpinga US kila wakati ni kipimo tosha. Sera zake mbovu kuanzia uhamiaji mpaka mahusiano na nchi za nje hazikubaliki na wengi.
 
Akaze matako Iran iieshe asjie na vi drama hapa..akapambane na Wanaume kule😀😀😀aturejeshe mafuta sisi huku Malawi.
 
Anaitwa Cole Allen ni Mwalimu na Dini yake MKIRISTO
.

10 minutes ago
White House dinner shooting suspect was California teacher - CBS News

The man who opened fire outside the White House Correspondents' Dinner in Washington, where US President Donald Trump was attending, was identified as a California educator, CBS News reported on Saturday, citing law enforcement sources.

Cole Allen had worked as a teacher with C2 Education in Torrance, a tutoring service and was named “Teacher of the Month” in December 2024, according

Wenyewe ndio Magaidi ✍️lkn wanafanya propaganda ili kusingizia wengine
wanaopambania uhuru wao!!!
 
Back
Top Bottom