Trump Amuondolea Joe Biden Haki Ya Kupatiwa" Taarifa Za Siri/Classified Informations "Kama Ilivyotakiwa Kwa Maraisi Waliotangulia Wa Marekani

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
9,971
Reaction score
13,608
President Donald Trump has said he’s revoking Joe Biden’s security clearance and ending the daily intelligence briefings he’s receiving, in payback for Biden doing the same to him in the wake of the January 6 attacks.

Trump announced his decision in a post saying: “There is no need for Joe Biden to continue receiving access to classified information. Therefore, we are immediately revoking Joe Biden’s security clearances, and stopping his daily intelligence briefings.
 
Hata Biden alimuondoleaga Trump so amelipwa. Alidhani Trump hatakuja kurudi White House
 
Attachments

  • Screenshot_2025-02-08-07-06-38-05.jpg
    Screenshot_2025-02-08-07-06-38-05.jpg
    369.4 KB · Views: 2
President Donald Trump has said he’s revoking Joe Biden’s security clearance and ending the daily intelligence briefings he’s receiving, in payback for Biden doing the same to him in the wake of the January 6 attacks.

Trump announced his decision in a post saying: “There is no need for Joe Biden to continue receiving access to classified information. Therefore, we are immediately revoking Joe Biden’s security clearances, and stopping his daily intelligence briefings.
Sababu yenye uzito zaidi ni Biden kuwa na matatizo ya kusinzia sana, shida ya kukumbuka mlango ulipo, shida ipo hadi anasahau anachoongea, n.k. itakuwaje akipewa taarifa sensitive za ulinzi wa nchi
 
Hili Biden alishawahi kumfanyia Trump ni kama kisasi 🤔
Wakati ule walipomkamata Trump na kumuweka ndani, Trump aliwahi sema kuna siku nitakuja kuchambua bajeti na jinsi wanavyoitumia kipengele kwa kipengele halafu tuone ni nani anayehusika na scandals za pesa, wao hawakudhani kuwa atakuja kuweza kufanya hivyo sababu walijua wana uhakika wanaenda kumfunga na kumuondolea sifa ya kugombea.

Kumbe mwenzao tangu awamu ya kwanza alishayaona madudu yote ila akaamua kutulia tu, wakamuina fala.
Kitendo cha kumkamata na kumuweka ndani na kumtengenezea kesi ya felony (hush money), kilimpa hasira ya kuamua kuwaonyesha wamarekani na dunia ukweli juu ya wizi/fraud unaofanywa na wanaomshutumu kwa wizi

Hapa ni walipompeleka mahakamani baada ya kumtaka ajisalimshe kabla hawajatumia nguvu kwenda kumkamata
images-14.jpg

Hapa ni alopokuwa Court akisomewa mashitaka yake waliyompikia
images-16.jpg
images-15.jpg
 
View attachment 3228697

Hapa ni alopokuwa Court akisomewa mashitaka yake waliyompikia
View attachment 3228698View attachment 3228699
Sura ya kazi! Chura kiziwi anajipakaa wanja!
 
Huyu mwamba hakati tamaa 🤔
 
Scandal gani ya matumizi mabaya ya pesa iliyofanywa na serikali ya Biden aliyoibua Elon Musk mpaka sasa??
 
Back
Top Bottom