bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
kwani wewe unaona ana akili kwa hayo anayofanya sasa?Biden aliwahi kusema Trump ni mwendawazimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani wewe unaona ana akili kwa hayo anayofanya sasa?Biden aliwahi kusema Trump ni mwendawazimu
Kuna vitu Yuko sawa lakini vingine vingi anakurupukakwani wewe unaona ana akili kwa hayo anayofanya sasa?
Namwamini sana Mungu na pia naamini Lisu sio mpango wake awe Rais, hayo ni mawazo yako tu ambayo una haki kuwa nayo.Trump ni mpango wa Mungu kuwa madarakani kama ilivyo kwa Lissu
Trump yeye ha-deal na Biden but the whole network (establishment) . Marais wote huogopa ku deal na hizo networks sababu ukithubutu kugusa utaishia kchukiwa na dunia nzima, anahtajika mtu asiyeali hayo ama Trump.Scandal gani ya matumizi mabaya ya pesa iliyofanywa na serikali ya Biden aliyoibua Elon Musk mpaka sasa??
Trump yeye ha-deal na Biden but the whole network (establishment) . Marais wote huogopa ku deal na hizo networks sababu ukithubutu kugusa utaishia kchukiwa na dunia nzima, anahtajika mtu asiyeali hayo ama Trump.
Trump ndio Rais pekee wa Marekani ambaye hajawahi kuweka taarifa zake za kodi wazi hadharani.Trump yeye ha-deal na Biden but the whole network (establishment) . Marais wote huogopa ku deal na hizo networks sababu ukithubutu kugusa utaishia kchukiwa na dunia nzima, anahtajika mtu asiyeali hayo ama Trump.
Trump yeye ha-deal na Biden but the whole network (establishment) . Marais wote huogopa ku deal na hizo networks sababu ukithubutu kugusa utaishia kchukiwa na dunia nzima, anahtajika mtu asiyeali hayo ama Trump.
Hao wanaitana sana majina, Trump na yeye humwita Biden, Sleepy Joe/Joe msinziaji 🤣
Maraisi wazee zaidi kuitawala MarekaniHao wanaitana sana majina, Trump na yeye humwita Biden, Sleepy Joe/Joe msinziaji 🤣
Ulitaraji wasiwepo wa kujibu?
Kwa hiyo anavunja sheria ipi? Kwanini hajawa disqualified? MMkuu, mdiungeunge story kama vile mnaunganisha vipande vya mabehewaTrump ndio Rais pekee wa Marekani ambaye hajawahi kuweka taarifa zake za kodi wazi hadharani.
Hata kuku ukiwa unamchinja lazima atarusharusha mateke ili kujitetea
Lissu???Trump ni mpango wa Mungu kuwa madarakani kama ilivyo kwa Lissu
Arudi kufanya nini na ukomo tayari.Hata Biden alimuondoleaga Trump so amelipwa. Alidhani Trump hatakuja kurudi White House