Trump ana wenge!anashusha heshima yake na taifa lake

Trump ana wenge!anashusha heshima yake na taifa lake

Kwa sasa Urusi lazima akimbie, kwa sababu Ukraine na US watakutana hapo Saudia kuweka mipango sawa kuhusu madini ya Ukraine.

Na katika makubaliano yao, itapelekea US kupeleka majeshi Ukraine kwa ajili ya kulinda migodi.

Kwa mazingira hayo, Urusi atakuwa anasalimiana uso kwa uso, na mmarekani aliyepo hapo Ukraine; ambayo ni sawa na kazi bure kwa Urusi anachokipigania Ukraine kwa sasa hivi.

Kwa namna nyingine, hapa Ukraine wamemuweza Urusi.​

Equation x ni Mchambuzi wa siasa za kimataifa, na mfuatiliaji migogoro na medani za kivita akitoa maoni yake.
 
Equation x ni Mchambuzi wa siasa za kimataifa, na mfuatiliaji migogoro na medani za kivita akitoa maoni yake.
Ukifuatilia siasa za ulimwengu wa kwanza ni raha sana, tofauti na hizi za kwetu za milioni 23 (M23); ndio maana wataalamu wakasema siasa ni sanaa na sio sayansi, kwa sababu unachokilenga kukipata, utatumia kona kona nyingi mwishowe unafikia kile unachokitaka.

Mkutano uliofanyika kati ya Urusi na US hapo Saudi Arabia; Urusi aliamini muafaka utafikiwa kwa wao kupewa kile wanachokitaka; lakini kwa Ukraine kwa kubadili gia angani na kukubali kuingia kwenye mapatano ya madini, tunaweza kusema NATO inaingia kwa namna nyingine hapo Ukraine,

Kwa namna moja ama nyingine Urusi anapoteza.​
 
Back
Top Bottom