Trump ana wenge!anashusha heshima yake na taifa lake

Trump ana wenge!anashusha heshima yake na taifa lake

Kwa sasa Urusi lazima akimbie, kwa sababu Ukraine na US watakutana hapo Saudia kuweka mipango sawa kuhusu madini ya Ukraine.

Na katika makubaliano yao, itapelekea US kupeleka majeshi Ukraine kwa ajili ya kulinda migodi.

Kwa mazingira hayo, Urusi atakuwa anasalimiana uso kwa uso, na mmarekani aliyepo hapo Ukraine; ambayo ni sawa na kazi bure kwa Urusi anachokipigania Ukraine kwa sasa hivi.

Kwa namna nyingine, hapa Ukraine wamemuweza Urusi.​
Ivi mkuu ulichokiandika apa hata wewe umekielewaa??
 
Nadhani watizama utawala wa trump ktk mitandao ya kijamii na umeachagua kuona kasoro.
Zelensky mliyemsifia kamuaibisha trump wiki hii anasaini mikataba aliokataa( mliosaini na Korea)
Mikataba huo utasainiwa pia na Kongo hivi punde (mmepeleka vjana bila mkakati)
China amesaini mikataba hii mingi na afrika na ni tishio kwa uchumi wa Marekani kwa baadae. Kazuia mfumo wa awali wa kuiba ktk operation za kijeshi ulivokuwa ukiwanufaisha wachache ktk serikali zote anafuata nyayo za china mikataba. Ni suala la muda atagonga hodi barazani kwetu EA.
Usijadili masuala ya kutawala na utendaji kwa porojo za sm hyo siyo tAgayi.. urahisi na utendaji ni vyombo tofauti vinavyotekeleza sera 1. ANATEKELEZA SERA ZA MAREKANI
Salaam wakuu.

Rais Donld trump wa marekani yupo kasi sana,anaunadi ukubwa wa taifa lake,anatamani kuwa na mamlaka mbele ya wenye mamlaka wenzie na anatumia nguvu na hadaa kuwaongoza viongozi wa mataifa mengine kufuata maono yake!

Kabla mzozo wake na rais Zele wa ukreine haujapoa tayati ameshadai kuwasiliana na kiongozi mkuu wa Iran Imam khomenei,madai ambayo yamekanushwa na utawala wa Iran.

Siku chache baada ya kuhitalifiana na Rais wa Ukreine akatangaza kuwa wasaidizi wake watakutana na wawakilishi wa Rais Putin wa Urusi huko Saudi arabia,tayari rais Zele kishatangulia Saudia,waziri wa mambo ya nje wa Marekani na mshauri wa masuala ya kiusalama wa rais Trump wapo hewani wanaelekea Saudia, chakushtua nikwamba Urusi imekana kuwa na taarifa za mkutano huo,kwahiyo hawatahudhuria.
Hii imeekaaje!?

Nakumbuka wiki iliyopita kiongozi Muadham wa taifa kubwa la Iran Sayid Al khomenei akiwahutubu Wairan aliiwaambia"mazungumzo na Marekani sio jambo lakujivunia,si jambo la heshima bali ni kujidhalilisha na kujidunisha na kwamba taifa la Iran halina mpango wowote wakufanya mazungumzo na Marekani mpaka pale watakapoondoa vikwazo vyao na kuacha kuitishia Iran.

Kwa khutba hiyo napata hisia kuwa huenda hata Putin na viongozi wenzie wa Urusi wamewaidhika na kuamua kula kona,kuchukua tahadhari dhidi ya Trump na viongozi wenzie wasioaminika wa Marekani.
 
MAGA ni code ya “white supremacy”. Kwa Trump na maswahiba wake hiyo ndiyo heshima ya Marekani.

Kichocheo kikubwa ni tishio walilopata kwa Obama kushinda uRais wa USA mwaka 2008 na 2012. Hawakutarajia kabisa; iliwatibua sana. Mengine ni vibwagizo tu. Sasa hivi wanajivunia “Trump country” na kutishia wenye asili nyingine hasa weusi kwamba “warudi kwao”.
Wewe acha porojo za masjid ubwabwa, watu weusi gani warudi makwao..!!😛😛
 
Kama ndyo hivyo basi kaa kwa kutulia kwa maana amechaguliwa na kura zaidi ya mil 80 za wamarekani.....ni chaguo la wamarekani.....haisaidii chochote kulmaumu humu..na haji kusoma hapa...
Na wewe husomi hapa!? Nimekuandikia wewe unaekuja kusoma humu.
 
Back
Top Bottom