Trump ana wenge!anashusha heshima yake na taifa lake

Ivi mkuu ulichokiandika apa hata wewe umekielewaa??
 
Nadhani watizama utawala wa trump ktk mitandao ya kijamii na umeachagua kuona kasoro.
Zelensky mliyemsifia kamuaibisha trump wiki hii anasaini mikataba aliokataa( mliosaini na Korea)
Mikataba huo utasainiwa pia na Kongo hivi punde (mmepeleka vjana bila mkakati)
China amesaini mikataba hii mingi na afrika na ni tishio kwa uchumi wa Marekani kwa baadae. Kazuia mfumo wa awali wa kuiba ktk operation za kijeshi ulivokuwa ukiwanufaisha wachache ktk serikali zote anafuata nyayo za china mikataba. Ni suala la muda atagonga hodi barazani kwetu EA.
Usijadili masuala ya kutawala na utendaji kwa porojo za sm hyo siyo tAgayi.. urahisi na utendaji ni vyombo tofauti vinavyotekeleza sera 1. ANATEKELEZA SERA ZA MAREKANI
 
Wewe acha porojo za masjid ubwabwa, watu weusi gani warudi makwao..!!😛😛
 
Kama ndyo hivyo basi kaa kwa kutulia kwa maana amechaguliwa na kura zaidi ya mil 80 za wamarekani.....ni chaguo la wamarekani.....haisaidii chochote kulmaumu humu..na haji kusoma hapa...
Na wewe husomi hapa!? Nimekuandikia wewe unaekuja kusoma humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…