Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Siku kadhaa baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuwaonya raia wa Iran waliopo mji wa Tehran kuhama mara moja kuwa kutakuwa na mashambulizi yanayoweza kufanyika katika eneo hilo amedai kuwa ba udhibiti wa anga la Iran
Kupitia mtandao wa Truth Social Trump ameandika kuwa “Marekani sasa inadhibiti kikamilifu anga la Iran. Iran ilikuwa na vifaa vizuri vya kufuatilia anga na ulinzi wa kutosha na vingi sana lakini haviwezi kulinganishwa na ‘vitu’ vilivyotengenezwa na Wamarekani. Hakuna anayefanya vizuri zaidi ya Marekani “
Pia ameongeza kwa kuandika “Tunajua kwa uhakika kabisa alipo huyo anayeitwa ‘Kiongozi Mkuu’. Ni mlengwa rahisi, lakini yuko salama pale alipo hatutamwondoa (kumuua!), angalau si kwa sasa. Lakini hatutakubali makombora kuelekezwa kwa raia au kwa wanajeshi wa Marekani. Subira yetu inaanza kuisha. Asanteni kwa kulipa hili uzito!”
===== For English Audiences ====
Explosions rock Iran and missiles hit Israel as attacks continue for a fifth-straight day with a Mossad office targeted in Tel Aviv and an alleged high-level assassination in Tehran.
US President Donald Trump says “we now have complete and total control of the skies over Iran” after his vice president, JD Vance, says Trump may take “further action to end Iranian enrichment”.
The Israeli military claims killing Iran’s wartime chief of staff after Iranian media say preparations under way for what they call the largest and most intense missile attack on Israeli soil.
The death toll from Israel’s attacks on Iran has risen to more than 220, including 70 women and children. More than 20 people have been killed in Iranian attacks on Israel.
Donald Trump posted on Truth Social that the US knows where Iranian Supreme Leader Ali Khamenei is "hiding," and that he was an "easy target" but said the US would not kill him - "at least not for now". It's a real-time version of his maximum pressure diplomacy.
He is an easy target, but is safe there - We are not going to take him out (kill!), at least not for now. But we don't want missiles shot at civilians, or American soldiers.
"Our patience is wearing thin. Thank you for your attention to this matter!"
The reporting came just as Mr Trump warned "everyone in Tehran to evacuate". The nuclear sites being threatened with bunker busters are not in Tehran, but Trump's words are designed to stoke tension, to confuse and to apply intense pressure.
SOURCE: ALJAZEERA