Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Source: trust me bro.Ipo hivi Israel ina mfumo wa ulinzi wa anga ambao mpaka sasa umezuia zaidi ya Makombora 200 hatari.
Imebidi sasa Iran atumie Hypersonic Ballistic missile ambayo ni hatari kubwa lakini bado zimefika chache.
Bila msaada wa USA basi mpaka muda huu kusinge kuwa na taifa linaitwa Israel.
kiongozi achana na propaganda za nchi za magharibi, unaambiwa Israel imeshambuliwa vibaya saaaana.Ipo hivi Israel ina mfumo wa ulinzi wa anga ambao mpaka sasa umezuia zaidi ya Makombora 200 hatari.
Imebidi sasa Iran atumie Hypersonic Ballistic missile ambayo ni hatari kubwa lakini bado zimefika chache.
Bila msaada wa USA basi mpaka muda huu kusinge kuwa na taifa linaitwa Israel.
At least leo nimempata mtu mwenye akili timamu Jamii forum umeelewa mchezo anaocheza. Hii vita mpaka sasa aliechapika sana Israel tena kashapoteza ndege NNE za marekan pia marekan kaweka ulinzi wa anga wake wote lakin Bado kombora zinashuka kama mvua Israel imekua magofu. Hii inamaana Kuwa kumbe hata ukituma makombora Marekan yatapita tu bira shida maana ulinzi wa marekan wote ndio huo unaofanya kaz hapo israel.kwahiyo kuficha AIBU ndio maana anasema hivyo ionekane kwa cku 5 tu Kwakutumia ndege za marekan wakaliteka anga la IRAN kitu AMBACHO sio kwel wanashambulia kwa ndege nyingi sana ila madhara kidogo hii vita itakuja kua maonesho ya Silaha kati ya west na pro Iran na kuna hisa za makampuni ya silaha zitashuka sana kama c kufirisika yaani WWW3 Haikwwpeki hapa watu wanatafuta sababu tu nitaingiaje kwahiyo wanasubir marekan AINGIE tu nae mwengine aingie upande wa Iran. Mpaka vita ikiisha bc kila upande wajenge mji upya .kwa awamu hii upande wa Israel tofaut kabisa na hamas na Isbullah sasa hivi vyuma vinafika hasa miji inakua magofu kwa ufupi Israel kaonja maumivu ya vitaTrump anapigia Debe technology Yao Kwa nchi zingine za karabu
View attachment 3373629View attachment 3373630
Siku kadhaa baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuwaonya raia wa Iran waliopo mji wa Tehran kuhama mara moja kuwa kutakuwa na mashambulizi yanayoweza kufanyika katika eneo hilo amedai kuwa ba udhibiti wa anga la Iran
Kupitia mtandao wa Truth Social Trump ameandika kuwa “Marekani sasa inadhibiti kikamilifu anga la Iran. Iran ilikuwa na vifaa vizuri vya kufuatilia anga na ulinzi wa kutosha na vingi sana lakini haviwezi kulinganishwa na ‘vitu’ vilivyotengenezwa na Wamarekani. Hakuna anayefanya vizuri zaidi ya Marekani “
Pia ameongeza kwa kuandika “Tunajua kwa uhakika kabisa alipo huyo anayeitwa ‘Kiongozi Mkuu’. Ni mlengwa rahisi, lakini yuko salama pale alipo hatutamwondoa (kumuua!), angalau si kwa sasa. Lakini hatutakubali makombora kuelekezwa kwa raia au kwa wanajeshi wa Marekani. Subira yetu inaanza kuisha. Asanteni kwa kulipa hili uzito!”
===== For English Audiences ====
Explosions rock Iran and missiles hit Israel as attacks continue for a fifth-straight day with a Mossad office targeted in Tel Aviv and an alleged high-level assassination in Tehran.
US President Donald Trump says “we now have complete and total control of the skies over Iran” after his vice president, JD Vance, says Trump may take “further action to end Iranian enrichment”.
The Israeli military claims killing Iran’s wartime chief of staff after Iranian media say preparations under way for what they call the largest and most intense missile attack on Israeli soil.
The death toll from Israel’s attacks on Iran has risen to more than 220, including 70 women and children. More than 20 people have been killed in Iranian attacks on Israel.
Donald Trump posted on Truth Social that the US knows where Iranian Supreme Leader Ali Khamenei is "hiding," and that he was an "easy target" but said the US would not kill him - "at least not for now". It's a real-time version of his maximum pressure diplomacy.
He is an easy target, but is safe there - We are not going to take him out (kill!), at least not for now. But we don't want missiles shot at civilians, or American soldiers.
"Our patience is wearing thin. Thank you for your attention to this matter!"
The reporting came just as Mr Trump warned "everyone in Tehran to evacuate". The nuclear sites being threatened with bunker busters are not in Tehran, but Trump's words are designed to stoke tension, to confuse and to apply intense pressure.
SOURCE: ALJAZEERA
Sasa ushangae rsis wako asiye kichaa anatembeza bakuli kwake.😛😛😛Trump ni kichaa.
Ni kweli...Iran ilikuwa na vifaa vizuri vya kufuatilia anga na ulinzi wa kutosha na vingi sana lakini haviwezi kulinganishwa na ‘vitu’ vilivyotengenezwa na Wamarekani. Hakuna anayefanya vizuri zaidi ya Marekani “
Ni kweli Kwa sababu anapigana na wachovu.View attachment 3373629View attachment 3373630
Siku kadhaa baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuwaonya raia wa Iran waliopo mji wa Tehran kuhama mara moja kuwa kutakuwa na mashambulizi yanayoweza kufanyika katika eneo hilo amedai kuwa ba udhibiti wa anga la Iran
Kupitia mtandao wa Truth Social Trump ameandika kuwa “Marekani sasa inadhibiti kikamilifu anga la Iran. Iran ilikuwa na vifaa vizuri vya kufuatilia anga na ulinzi wa kutosha na vingi sana lakini haviwezi kulinganishwa na ‘vitu’ vilivyotengenezwa na Wamarekani. Hakuna anayefanya vizuri zaidi ya Marekani “
Pia ameongeza kwa kuandika “Tunajua kwa uhakika kabisa alipo huyo anayeitwa ‘Kiongozi Mkuu’. Ni mlengwa rahisi, lakini yuko salama pale alipo hatutamwondoa (kumuua!), angalau si kwa sasa. Lakini hatutakubali makombora kuelekezwa kwa raia au kwa wanajeshi wa Marekani. Subira yetu inaanza kuisha. Asanteni kwa kulipa hili uzito!”
===== For English Audiences ====
Explosions rock Iran and missiles hit Israel as attacks continue for a fifth-straight day with a Mossad office targeted in Tel Aviv and an alleged high-level assassination in Tehran.
US President Donald Trump says “we now have complete and total control of the skies over Iran” after his vice president, JD Vance, says Trump may take “further action to end Iranian enrichment”.
The Israeli military claims killing Iran’s wartime chief of staff after Iranian media say preparations under way for what they call the largest and most intense missile attack on Israeli soil.
The death toll from Israel’s attacks on Iran has risen to more than 220, including 70 women and children. More than 20 people have been killed in Iranian attacks on Israel.
Donald Trump posted on Truth Social that the US knows where Iranian Supreme Leader Ali Khamenei is "hiding," and that he was an "easy target" but said the US would not kill him - "at least not for now". It's a real-time version of his maximum pressure diplomacy.
He is an easy target, but is safe there - We are not going to take him out (kill!), at least not for now. But we don't want missiles shot at civilians, or American soldiers.
"Our patience is wearing thin. Thank you for your attention to this matter!"
The reporting came just as Mr Trump warned "everyone in Tehran to evacuate". The nuclear sites being threatened with bunker busters are not in Tehran, but Trump's words are designed to stoke tension, to confuse and to apply intense pressure.
SOURCE: ALJAZEERA
Fact na machache hayo like hell yangepita yote mngeskia mengnIpo hivi Israel ina mfumo wa ulinzi wa anga ambao mpaka sasa umezuia zaidi ya Makombora 200 hatari.