Trump anasema ataiwekea Urusi vikwazo vikubwa, vya ushuru kumaliza vita vya Ukraine.

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha mapigano na amani yafikiwe na Ukraine.
Trump pia amesitisha usaidizi wa kijeshi na ushirikiano wa kijasusi na Ukraine kuishinikiza Kyiv kukubali makubaliano ya kusitisha mapigano baada ya mkutano wa Ofisi ya Oval ulioripuka na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy wiki moja iliyopita.
===============
March 7 (Reuters) - U.S. President Donald Trump said on Friday he is "strongly considering" imposing sweeping sanctions, including ones on banking, and tariffs on Russia until a ceasefire and peace agreement is reached with Ukraine.
Trump has also paused military aid and intelligence sharing with Ukraine to pressure Kyiv to accept a ceasefire deal after an explosive Oval Office meeting with Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy a week ago.

U.S. President Donald Trump said on Friday he is "strongly considering" imposing sweeping sanctions, including ones on banking, and tariffs on Russia until a ce… Source: Reuters search.app
 
Mbona haeleweki mimi natamani waingie tu front moja kwa moja tu
Tujue nani mbabe wa dunia neno vikwazo limekuwa siyo jipya
 
Hii hapana, mkuu. Jaribu kuihurumia dunia.

Silaha zilizopo duniani sasa si za kuombea vita.

Hao jamaa hawawezi kukubali kuangushwa chini hivihivi.

Watataka kufa na wengi. Unadhani Afrika itanusurika?
 
Trump bwege sana yeye kila akimka ni mikwara tu yaani utamtisha Putun na vikwazo.
 
212903.png
 
Putin anaweza aka ignore! Ndiyo maana juzi juzi Russia imezidisha mashambulizi Ukraine.
Wakati US imejiondoa Ukraine,UK na EU bado zinaendelea kuipa support Ukraine kijeshi.
Kauli za Trump haziaminiki.
 
Hii hapana, mkuu. Jaribu kuihurumia dunia.

Silaha zilizopo duniani sasa si za kuombea vita.

Hao jamaa hawawezi kukubali kuangushwa chini hivihivi.

Watataka kufa na wengi. Unadhani Afrika itanusurika?
Huruma ya nini?
Hizo silaha natamani zitumike maana hayo siyo maandazi wala mchele kuwa wanayaweka akiba yatumike wakati wa njaa
Hizo ni silaha na ni muda sahihi tuyaone yakiwa yanapishana angani kwenda washington mengine, yakielekea Moscow kuchafua jiji muda huo bara europe kukiwa pamechafuka viunga vya Paris,London, Berlin k
 
You're clearly out of your mind. You've no idea what you wish for.
 
Wanaukumbi.

Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha mapigano na amani yafikiwe na Ukraine.
Trump pia amesitisha usaidizi wa kijeshi na ushirikiano wa kijasusi na Ukraine kuishinikiza Kyiv kukubali makubaliano ya kusitisha mapigano baada ya mkutano wa Ofisi ya Oval ulioripuka na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy wiki moja iliyopita.
===============
March 7 (Reuters) - U.S. President Donald Trump said on Friday he is "strongly considering" imposing sweeping sanctions, including ones on banking, and tariffs on Russia until a ceasefire and peace agreement is reached with Ukraine.
Trump has also paused military aid and intelligence sharing with Ukraine to pressure Kyiv to accept a ceasefire deal after an explosive Oval Office meeting with Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy a week ago.

U.S. President Donald Trump said on Friday he is "strongly considering" imposing sweeping sanctions, including ones on banking, and tariffs on Russia until a ce… Source: Reuters search.app
Trump 10 shika 1, hana mpango wowote ni rasi wa matamko ata hizo kodi mpya alizopandisha kwa Mexico, Canada na China anayeumia ni yeye tayari makampuni yaliyopo Marekani yanaanza kudorora na bungeni juzi kazomewa sana
 
Ni vikwazo gani hajawekewa Urusi mpaka hivi sasa ?; Hawa wanasiasa ni kucheza na politics na propaganda especially Trump always serving the menu for the local consumption; no matter kama anachokiongelea kina validity yoyote.
 
Back
Top Bottom