Trump anasema ataiwekea Urusi vikwazo vikubwa, vya ushuru kumaliza vita vya Ukraine.

Huruma ya nini?
Hizo silaha natamani zitumike maana hayo siyo maandazi wala mchele kuwa wanayaweka akiba yatumike wakati wa njaa
Hizo ni silaha na ni muda sahihi tuyaone yakiwa yanapishana angani kwenda washington mengine, yakielekea Moscow kuchafua jiji muda huo bara europe kukiwa pamechafuka viunga vya Paris,London, Berlin k
Dunia inahitaji watu kama ninyi kwa ustawi wa ubinaadamu na utu.
 
Wanaukumbi.

Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha mapigano na amani yafikiwe na Ukraine.
Trump pia amesitisha usaidizi wa kijeshi na ushirikiano wa kijasusi na Ukraine kuishinikiza Kyiv kukubali makubaliano ya kusitisha mapigano baada ya mkutano wa Ofisi ya Oval ulioripuka na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy wiki moja iliyopita.
===============
March 7 (Reuters) - U.S. President Donald Trump said on Friday he is "strongly considering" imposing sweeping sanctions, including ones on banking, and tariffs on Russia until a ceasefire and peace agreement is reached with Ukraine.
Trump has also paused military aid and intelligence sharing with Ukraine to pressure Kyiv to accept a ceasefire deal after an explosive Oval Office meeting with Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy a week ago.

U.S. President Donald Trump said on Friday he is "strongly considering" imposing sweeping sanctions, including ones on banking, and tariffs on Russia until a ce… Source: Reuters search.app
Hiyo mbinu ni "dhaifu mno"inasaidia tu kupeleka usumbufu kwa nchi husika lakini haifanikishi lengo.
Ni lini Iran imesalim amri!? Ni lini Korea kaskazini imesalim amri!? Ni lini china imesalim amri!? Urusi yenyewe imeanzisha vita ikiwa ndani ya vikwazo na sio vya marekani tu bali na Ulaya yote.miaka mitatu sasa Urusi imeindama Ukrene kwa kipigo bila kukoma!. Inavyoonekana Trump na taifa lake la marekani na washirika wao hawana chaguo jingine lilibora zaidi ndio sababu wanang'ang'ania vikwazo kwa huzuni kubwa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haiwezi kumsaidia
Hiyo ndio nguvu yake kubwa kabisa na tegemezi,Trump hana nguvu iliyobora zaidi ya vikwazo na Ushuru.
Habari mpya tulizonazo nikwamba,tayari Trump kishapiga goti kumuinamia na kumuomba kiongozi wa Taifa kubwa la Iran 'Ayatullah Sayid Al khomeiney, kumsihi waanzishe upya mazungumzo kuhusu mradi wa Nyuklia wa Iran.
 
Wanaukumbi.

Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha mapigano na amani yafikiwe na Ukraine.
Trump pia amesitisha usaidizi wa kijeshi na ushirikiano wa kijasusi na Ukraine kuishinikiza Kyiv kukubali makubaliano ya kusitisha mapigano baada ya mkutano wa Ofisi ya Oval ulioripuka na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy wiki moja iliyopita.
===============
March 7 (Reuters) - U.S. President Donald Trump said on Friday he is "strongly considering" imposing sweeping sanctions, including ones on banking, and tariffs on Russia until a ceasefire and peace agreement is reached with Ukraine.
Trump has also paused military aid and intelligence sharing with Ukraine to pressure Kyiv to accept a ceasefire deal after an explosive Oval Office meeting with Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy a week ago.

U.S. President Donald Trump said on Friday he is "strongly considering" imposing sweeping sanctions, including ones on banking, and tariffs on Russia until a ce… Source: Reuters search.app
Trump kijakaz wa urusi seems anajuwa kila kitu ndio maana mwamba anafanya anayo fanya
 
Back
Top Bottom