Trump anasema ataiwekea Urusi vikwazo vikubwa, vya ushuru kumaliza vita vya Ukraine.

Dunia inahitaji watu kama ninyi kwa ustawi wa ubinaadamu na utu.
 
Hiyo mbinu ni "dhaifu mno"inasaidia tu kupeleka usumbufu kwa nchi husika lakini haifanikishi lengo.
Ni lini Iran imesalim amri!? Ni lini Korea kaskazini imesalim amri!? Ni lini china imesalim amri!? Urusi yenyewe imeanzisha vita ikiwa ndani ya vikwazo na sio vya marekani tu bali na Ulaya yote.miaka mitatu sasa Urusi imeindama Ukrene kwa kipigo bila kukoma!. Inavyoonekana Trump na taifa lake la marekani na washirika wao hawana chaguo jingine lilibora zaidi ndio sababu wanang'ang'ania vikwazo kwa huzuni kubwa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haiwezi kumsaidia
Hiyo ndio nguvu yake kubwa kabisa na tegemezi,Trump hana nguvu iliyobora zaidi ya vikwazo na Ushuru.
Habari mpya tulizonazo nikwamba,tayari Trump kishapiga goti kumuinamia na kumuomba kiongozi wa Taifa kubwa la Iran 'Ayatullah Sayid Al khomeiney, kumsihi waanzishe upya mazungumzo kuhusu mradi wa Nyuklia wa Iran.
 
Trump kijakaz wa urusi seems anajuwa kila kitu ndio maana mwamba anafanya anayo fanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…