mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
USA inatoa billion dollar a year NATO na ina control world bank wewe subiri asubuhi ifike world bank watachukua pesa zote za iran .Trump anadharau na anauweza ugomvi
Usibishane nae mkuu mwache hatokupabJibunla kueleweka
Mrusi atawapatia
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Mbna kaishachelewa ss Ataipata RUSSIA Tena RUSSIA Wanangojea Hii Fursa Itokee Asee
US Anaelekea Kupotea Duniani Ila Nisafari Ndefu Mnooooo.....
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona walilipuliwa kwao,september 11,kwa nini hawakujua na kuzuia mapema,chini ya jua hakuna aliye mkamilifu...Wewe google who own internet.us defense controlls it .unaambiwa spy Zika mpaka kwenye TV fridge everywhere.Usicheze na US intelligent wewe.
Kwani WAIRAN ni WAARABUKwanini wasipewe na waarabu wenzao? Siri usiyoijua. Iran inatamaniwa sana na Russia, China na Marekani kwasababu ya mafuta. Hizi nchi zikitia mguu Iran ujue ni mafuta. Na usifikiri Russia anaipenda sana Iran. That is Big NO.
Waarabu hawana akili. Badala waungane wao kwao ili wawe na nguvu kwasababu ya dini na mila zinazoshabihiana lakini wanamkaribisha mtu baki. Miaka inayokuja Saudia Arabia itafuata tamaduni zote za kimagharibi.
Ila WAIRAN Sio Waarabu Wataftie Sababu Nyengine.......Katika watu ambao hawana akili duniani ni waarabu (watu wanaoishi middle East). Hapo ni sawa unamkataa mkaburu halafu unamkubali Mchina. Ningewaona wa maana sana kama nchi za kiarabu zikaungana zikawa na umoja wao na kutengeneza vitu vyao ili kupunguza manyanyaso kutoka nchi za nje.
Wale Jama Waliuana Wenyewe Waliua Maelfu Yawatu Iliwapate Kisingizio Chakuzivamia Inchi Zawatu Kenge Wale .....[emoji34][emoji34][emoji22][emoji22][emoji22][emoji34][emoji34]mbona walilipuliwa kwao,september 11,kwa nini hawakujua na kuzuia mapema,chini ya jua hakuna aliye mkamilifu...
Sent using Jamii Forums mobile app