Trump anataka kukata internet Iran

Trump anataka kukata internet Iran

Kwanini wasipewe na waarabu wenzao? Siri usiyoijua. Iran inatamaniwa sana na Russia, China na Marekani kwasababu ya mafuta. Hizi nchi zikitia mguu Iran ujue ni mafuta. Na usifikiri Russia anaipenda sana Iran. That is Big NO.
Waarabu hawana akili. Badala waungane wao kwao ili wawe na nguvu kwasababu ya dini na mila zinazoshabihiana lakini wanamkaribisha mtu baki. Miaka inayokuja Saudia Arabia itafuata tamaduni zote za kimagharibi.
Mrusi atawapatia
 
Katika watu ambao hawana akili duniani ni waarabu (watu wanaoishi middle East). Hapo ni sawa unamkataa mkaburu halafu unamkubali Mchina. Ningewaona wa maana sana kama nchi za kiarabu zikaungana zikawa na umoja wao na kutengeneza vitu vyao ili kupunguza manyanyaso kutoka nchi za nje.

[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Mbna kaishachelewa ss Ataipata RUSSIA Tena RUSSIA Wanangojea Hii Fursa Itokee Asee

US Anaelekea Kupotea Duniani Ila Nisafari Ndefu Mnooooo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji2][emoji3][emoji23]
Kwanini wasipewe na waarabu wenzao? Siri usiyoijua. Iran inatamaniwa sana na Russia, China na Marekani kwasababu ya mafuta. Hizi nchi zikitia mguu Iran ujue ni mafuta. Na usifikiri Russia anaipenda sana Iran. That is Big NO.
Waarabu hawana akili. Badala waungane wao kwao ili wawe na nguvu kwasababu ya dini na mila zinazoshabihiana lakini wanamkaribisha mtu baki. Miaka inayokuja Saudia Arabia itafuata tamaduni zote za kimagharibi.
Kwani WAIRAN ni WAARABU

Dooh Pole Sana Mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa Nimekuelewa Mkuu
Katika watu ambao hawana akili duniani ni waarabu (watu wanaoishi middle East). Hapo ni sawa unamkataa mkaburu halafu unamkubali Mchina. Ningewaona wa maana sana kama nchi za kiarabu zikaungana zikawa na umoja wao na kutengeneza vitu vyao ili kupunguza manyanyaso kutoka nchi za nje.
Ila WAIRAN Sio Waarabu Wataftie Sababu Nyengine.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom