Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano ya Palestina

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

⚡️🇺🇸IRais wa Marekani Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano haramu"

Haya yanajiri baada ya maandamano ya chuo kikuu yaliyokuwa yakitetea Wapalestina na Wazayuni wakidai kuwa maandamano haya ni "chukizo".

Swali hapa ni: Je, ana mamlaka ya upande mmoja kufuta fedha za shirikisho, hata kwa vyuo vinavyoruhusu maandamano "haramu"? Na maandamano yatatambuliwaje kuwa haramu?

Tuliaminishwa kuwa waliokuwa wanafanya maandamano ni wageni siyo raia wa Marekani, sasa hivi tunaona waandamanaji ni Wamarekani weenyewe, wageni wakifabya maandamano wanafutiwa viza.
===============
U.S President Trump threatens to stop funding for colleges, school or university that allows “illegal protests”

This came after campus protests advocating for Palestine and Zionists claiming that these protests are “antisemitic.”

The question here is: Does he have unilateral authority to revoke federal funds, even for colleges that allow “illegal” protests? And how will a protest be identified as illega


View: https://x.com/suppressednws/status/1897010401075978373?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kumbe kuna wasio raia wa marekani wameenda kusoma tu halafu wanafanya fujo kwenye nchi za watu..

warudishwe makwao na masomo yakomee hapo hapo
 
Kumbe kuna wasio raia wa marekani wameenda kusoma tu halafu wanafanya fujo kwenye nchi za watu..

warudishwe makwao na masomo yakomee hapo hapo
Wakifanya wazawa? Au unahisi kila anaeandamana kwaajili ya wapalestine ni mpalestine?
 
Yupo sawa kabisa
 
Wakifanya wazawa? Au unahisi kila anaeandamana kwaajili ya wapalestine ni mpalestine?
Kasema kama ni mzawa utafukuzwa chuo.uzuri palestina kunachuo tena cha aafya najuzi walikua muhimbli wakishirikiana na watz kufanikisha oapareshen ya ubongo so wataendasomea palestina. Wabilah taofgue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…