Mzee wetu Ayatollah naye alifariki kiutaniutani hivi hivi.Tayari ikulu yao imetangaza kwamba alikua anatania
Hahahahaha!!!! we bwana weh! hivyo vinchi kwa America ni vya mfukoni kama Chauma kwa CCM. Wanabweka tu recklessly.Denmark imeshampa warning ajaribu kugusa kile kisiwa aone mziki wake hapo pia kuna Norway na Sweden 😂
| Kigezo | Nchi 3 za Scandinavia (Zimeunganishwa) | Marekani (USA) | Tofauti / Uwiano |
|---|---|---|---|
| Bajeti kwa Dola | USD bilioni 47 | USD bilioni 1,032 | Marekani ni kubwa mara 22 zaidi. |
| Bajeti kwa Shilingi | TZS Trilioni 124.5 | TZS Quadrilioni 2.73 | Marekani inazipita kwa mbali sana. |
| Mchango wa Pamoja NATO | Takriban 4.5% ya mfuko mkuu | 15% ya mfuko mkuu | Marekani inachangia mara 3 zaidi kwenye uendeshaji. |