Trump aokoa na kuirudisha ndoa yangu kwenye mstari

Nimesoma hapo juu USAID inaweza kurudishwa tena...
 
Muda wa kuitumia ndio huu maana veey soon the hustle will continue. Pia hongera kwa kung'ang'ania ligulu mbembe
 
Hawa viumbe wasikie tuu, ukiwa huna hela mwanamke anakuona tàkataka tuu.
Ngoja ujipate, wanakuwa watu ukijisahau unaweza hata ukamsamehe!
Mwanamke akiwa na hela ni kwa ajili yake na ndugu zake ila siyo kwa ajili familia yake na mumewe.
 
Naipiga sn tu, nafidia magepu japo na yy anaenjoy show ni kiburi chake tu cha ajira ndio kilikuwa kinampawisha lkn alikuwa anamis sn tango
Acha kujipa moyo siyo kweli kwamba alikuwa anaimisi bali ulikuwa unachapiwa kule ofisini na mwenye hadhi yake, sasa wamepunguzwa wote.
Zamu yako faidi ila ujue akibakizwa kazini na bebi wake hali itarudi kuwa mbaya mara 7 zaidi ya mwanzo.
 
Hawa viumbe wasikie tuu, ukiwa huna hela mwanamke anakuona tàkataka tuu.
Ngoja ujipate, wanakuwa watu ukijisahau unaweza hata ukamsamehe!
Mwanamke akiwa na hela ni kwa ajili yake na ndugu zake ila siyo kwa ajili familia yake na mumewe.
Uko sahihi,ni wachache sana wameokota dodo kwenye hili,na usiombe ikawa ulimchukuwa akiwa na mtoto au watoto...
 
Mkuu, ni siku tisini tu,,so far zimebaki kama 80, tabu itarudi palepale tena utanyanyasika zaidi
Siku tisini ni miezi mitatu hiyo mkuu, atakuwa amejifunza kitu, na pengine atakuwa anenda kazini huku anahudhulia clinic, akili itamkaa sawa tu
 
Acha kujipa moyo siyo kweli kwamba alikuwa anaimisi bali ulikuwa unachapiwa kule ofisini na mwenye hadhi yake, sasa wamepunguzwa wote.
Zamu yako faidi ila ujue akibakizwa kazini na bebi wake hali itarudi kuwa mbaya mara 7 zaidi ya mwanzo.
Vyovyote iwavyo lkn muda huu tunaoongea mpira upo miguuni mwangu naufurahia uumbaji wa mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…