othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
- Thread starter
-
- #61
Dah, wanazingua kinyama watakupeleka puta na usipojishikilia unatema bungo.Mwanamke akiwa na kipato kumzidi mwanaume ni problem ndani ya ndoa, cha ajabu ikiwa nje ya ndoa unaweza sema Yesss mwanamke si ndio huyu, muweke ndani sasa hakuna rangi utaacha kuona
Kama ni kweli unachosema huoni kuwa hiyo ni red flag unayotakiwa kuzingatia kwa sababu huyo hakutahamini wewe? Huoni kuwa ni busara ndoa ivunjike mapema kuliko kuja kuvunjika mmeshaishi kwa muda mrefu?Atakuwa amejifunza vya kutosha na nitakachofanya muda huu ni kumpa mimba faster faster wale wawili tuliokuwa nae awe na wanne kabisa achakae kiasi fulani akili imkae sawa na ajue umuhimu wa mwanaume duniani sitaki ujinga tena ujirudie
Wengine HAWANA hata kipato anakutegemea kwa asilimia 95 na hiyo 5 iliyobaki ulimuwezesha wewe lakini huo msoto usipime.Ebana ni kweli msoto utakaopitia ni mungu tu ndio anajua
Mhhh, hilo atajua yy atleast now she is royal kwangu, kama kuliwa hilo ni tatizo la wanawake wengi ulimwenguni including urs, so tu si waste sn time kufikiria kuliwa njeAkitoa mbususu ajira anapewa fasta na hivi umesema ana msambwanda
No kuivunja ndoa kwa sasa siwezi bado nampa nafasi nyingine pengine atabadilika kwani wanawake ni wale wale tu mkuu, naweza muacha huyu nikaparamia gumegume jingine it 's like i run from one catostrophe to the next disaster,Kama ni kweli unachosema huoni kuwa hiyo ni red flag unayotakiwa kuzingatia kwa sababu huyo hakutahamini wewe? Huoni kuwa ni busara ndoa ivunjike mapema kuliko kuja kuvunjika mmeshaishi kwa muda mrefu?
MAGA , Tirampu Hureeeeee!!Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo.
Wayback niliwahi kushusha uzi humu nikielezea jinsi gani shemeji yenu anavyonibagaza na kuninyanyasa ikiwemo kuninyima tunda la rohoni kwakuwa tu nilikuwa jobless, nilielezea jinsi punde tu magu alivyoingia madarakani watu wengi walipoteza ajira nikiwemo mimi, kama kuna mwenye uzi ule aushushe ausindikize na huu.
Basi kipindi kile kwa shemeji yenu hakuna rangi niliiacha kuiona alinibagaza vya kutosha ilifikia kipindi hadi nguo zake za ndani namfulia ili tu kiumarisha upendo baina yetu lkn aliniona kama ng'ombe asiye na faida,
Kuhusu tunda la rohoni nilikuwa napimiwa kwenye kibaba tena mpaka ajisikie ilikuwa ni kawaida mwezi kupita bila ya viungo vyetu vya uzazi kukutana jambo ambalo lilinifanya niwe mfuasi wa dondrake kwa kujichukulia sheria mkononi, kimsingi niliteseka na kugugumia maumivu na sikuwa na la kufanya.
Wengi mlinikejeri kwa kunitupia lawama kwamba nitoke hapo nyumbani nikimbie, nikatafute kazi kwengine, nichome mahindi, nishone viatu basi ilimradi tu watu wakutoe kwenye reli bila kujari hali ngumu niliyokuwa napitia, lkn wkt wote huo still wifi yenu alikuwa kiburi na mkaidi
Kitambo kidogo kilipita mungu sio athumani mrume ni ka procure job somewhere mchongo ukatiki japo salary yangu ilikuwa inasoma six figure na wa kwake ukisoma 7 figure lkn angalau kwa mbali heshima ilikuwa inakuja na kupotea hivyo hivyo mradi siku zinasogea.
Sasa basi hivi karibuni naona wifi yenu amebadilika mno na utii umerejea ndani ya nyumba na mbususu napewa tena hata bila kuomba, na hii inafuatiwa baada ya rais wa marekani Donald trump kusitisha shuhuli zote za shirika hilo ulimwenguni, japo bado anaenda job lkn najua tayari red alert imeshatoa ishara kwamba sooner or later wifi yenu anaenda kuwa jobless,
Siwafichi kabadilika sn wifi yenu amekuwa mtiifu, anawahi kurudi, jambo hata kama nimemkosea yeye ndio ananiomba msamaha na kubwa zaidi mbususu sipimiwi tena kwenye kibaba napewa bila shuruti.
kimsingi namshukuru sn donald trump kwa kurejesha amani na utulivu kwenye ndoa yangu, najua wapo makumi elfu kama mm ndoa zao zinaenda kurudi kama zamani.
God bless America, God bless donald trump.
Trump alindwe ni tunu ya duniaMAGA , Tirampu Hureeeeee!!
Trump alindwe ni tunu ya dunia
HahahPicha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo.
Wayback niliwahi kushusha uzi humu nikielezea jinsi gani shemeji yenu anavyonibagaza na kuninyanyasa ikiwemo kuninyima tunda la rohoni kwakuwa tu nilikuwa jobless, nilielezea jinsi punde tu magu alivyoingia madarakani watu wengi walipoteza ajira nikiwemo mimi, kama kuna mwenye uzi ule aushushe ausindikize na huu.
Basi kipindi kile kwa shemeji yenu hakuna rangi niliiacha kuiona alinibagaza vya kutosha ilifikia kipindi hadi nguo zake za ndani namfulia ili tu kiumarisha upendo baina yetu lkn aliniona kama ng'ombe asiye na faida,
Kuhusu tunda la rohoni nilikuwa napimiwa kwenye kibaba tena mpaka ajisikie ilikuwa ni kawaida mwezi kupita bila ya viungo vyetu vya uzazi kukutana jambo ambalo lilinifanya niwe mfuasi wa dondrake kwa kujichukulia sheria mkononi, kimsingi niliteseka na kugugumia maumivu na sikuwa na la kufanya.
Wengi mlinikejeri kwa kunitupia lawama kwamba nitoke hapo nyumbani nikimbie, nikatafute kazi kwengine, nichome mahindi, nishone viatu basi ilimradi tu watu wakutoe kwenye reli bila kujari hali ngumu niliyokuwa napitia, lkn wkt wote huo still wifi yenu alikuwa kiburi na mkaidi
Kitambo kidogo kilipita mungu sio athumani mrume ni ka procure job somewhere mchongo ukatiki japo salary yangu ilikuwa inasoma six figure na wa kwake ukisoma 7 figure lkn angalau kwa mbali heshima ilikuwa inakuja na kupotea hivyo hivyo mradi siku zinasogea.
Sasa basi hivi karibuni naona wifi yenu amebadilika mno na utii umerejea ndani ya nyumba na mbususu napewa tena hata bila kuomba, na hii inafuatiwa baada ya rais wa marekani Donald trump kusitisha shuhuli zote za shirika hilo ulimwenguni, japo bado anaenda job lkn najua tayari red alert imeshatoa ishara kwamba sooner or later wifi yenu anaenda kuwa jobless,
Siwafichi kabadilika sn wifi yenu amekuwa mtiifu, anawahi kurudi, jambo hata kama nimemkosea yeye ndio ananiomba msamaha na kubwa zaidi mbususu sipimiwi tena kwenye kibaba napewa bila shuruti.
kimsingi namshukuru sn donald trump kwa kurejesha amani na utulivu kwenye ndoa yangu, najua wapo makumi elfu kama mm ndoa zao zinaenda kurudi kama zamani.
God bless America, God bless donald trump.
Hilo nimelizingatia mkuuNaona neno wifi tu, au siredi ni maalum kwa mawifi?
Ukumbuke kupima.
Minne tena kwa TrumpHilo nimelizingatia mkuu
Kwa nn niwaheri?Sema una moyo wa pekee.
TUkiitwa na nani ndege tai?Wakiitwa waliooa na wewe huwa unapita mbele?
Huyo mwanamke hana upendo na wwe,ni maisha tu yanamlazimisha kua na wwe, aamka toka usingizini, Mungu kesha kuonyesha rangi halisi ya mkeo, na siku mipango yake ikitiki,lazima akutangulize ahera!!Mimi siwezi mm nampelekea tu moto wifi yako anamsambwanda wa haja