Trump aongeza kodi kwa bidhaa za China, Canada na Mexico. Aitishia Japan

Punguza ukali wa maneno. The guy is so good at what he's doing.

Trump anaisafisha dunia. Trump anatufundisha Afrika kujitegemea wenyewe.

Ukreni inaelekea kusalimisha rasilimali zake kwa sababu ya kuishi kwa kushikiwa akili na mataifa mengine.
Kweli Africa hatujielewi hata viongozi wazabwe makofi ila bado wataona bila Wazungu tunakufa

. Kama watu wanaliwa na Mamba kwa kukatisha mto, na akili ya kuweka daraja hatuna basi sasa
 
Trump ana akili sana. Hivyo ambavyo USA walikuwa wanafanya havikuwa na sustainability ya muda mrefu. Anaondoa ujinga kuja kwenye ukweli. Ila mijinga itasema eti uhusiano hahaha. Let America nayo aifanye iwe yenye ushindani
Anaakili au anajimaliza
 
Rais Trump ameendeleza ubabe na kuendelea kupunguza mahusiano ya Marekani na mataifa mbalimbali:

Marekani, chini ya Trump, kwa muda mfupi imejenga mazingira ya kupunguza mashirikiano dhidi ya mataifa ya Ulaya, Asia, America na Afrika.

1. Kwa Afrika, Trump amefuta misaada.

2. Kwa Ulaya, Trump amejiondoa kuisaidia Ukraine kwenye vita yake dhidi ya Mvamizi Russia.

3. Kwa Asia, Trump aliongeza kodi kwa 10% kwa bidhaa zote toka China, na sasa ameongeza tena 10%; kwa hiyo ni ongezeko la 20%. China imesema ipo tayari kujadiliana na USA kuhusu kodi, lakini haitakubali kuburuzwa. Trump pia ameionya Japan kuwa inashusha thamani yake ya fedha, na hiyo inasababisha bidhaa za Marekani kuonekana aghali sana. Japan imekataa kuwa huwa haishushi thamani ya pesa yake.

4. Kwa America, ameweka kodi ya 25% ya bidhaa kutoka Canada na Mexico. Canada imesema na yenyewe italipiza kisasi.

5. Kwa Dunia, Trump ameiondoa USA kwenye uwanachama wa WHO, anafikiria kuiondoa USA kwenye Umoja wa mataifa na taasisi zake zote.

Wachambuzi wa mambo wanasema kuna dalili ya Trump na Putin kutengeneza umoja wao. Lengo ni kuifanya Dunia nzima kuwa chini ya mataifa haya yenye nguvu za kijeshi, Marekani na Russia.

Dunia ijiandae kwa mpangilio huu mpya wa Dunia unaoweza kutokea ambao utakuwa wa block ya mataifa makubwa mawili ya Dunia, dhidi ya China na mataifa madogo madogo.
Hii ndio maana ya Make America great again
 
Republicans wwlimchagua kwa hili
MAGA
Naona wanafurahia sana labda wataondokana na kulala barabarani
Ila ana mikakati mikubwa na ata save hela nyingi sana

Acha sisi tuendelee kupiga miayo tu
Ma sniper wapo wanatesti mitambo mkuu, Nadhani mara hii ya pili hawawezi kufanya makosa kama yale waliofanya wakati ule wa kwenye kampeni🤣🤣.
 
Marekani isipoangalia itajipiga pini yenyewe.
.asipokua makini dolla itashuka euro,pound yen zitapanda kwa kasi.
mtu anapata utajili %kubwa anategemea kuungwa mkono na masikini. sasa yeye anawanyanyapaa masikini basi ajiandae kipolomoka tu.
 
Rais Trump ameendeleza ubabe na kuendelea kupunguza mahusiano ya Marekani na mataifa mbalimbali:

Marekani, chini ya Trump, kwa muda mfupi imejenga mazingira ya kupunguza mashirikiano dhidi ya mataifa ya Ulaya, Asia, America na Afrika.

1. Kwa Afrika, Trump amefuta misaada.

2. Kwa Ulaya, Trump amejiondoa kuisaidia Ukraine kwenye vita yake dhidi ya Mvamizi Russia.

3. Kwa Asia, Trump aliongeza kodi kwa 10% kwa bidhaa zote toka China, na sasa ameongeza tena 10%; kwa hiyo ni ongezeko la 20%. China imesema ipo tayari kujadiliana na USA kuhusu kodi, lakini haitakubali kuburuzwa. Trump pia ameionya Japan kuwa inashusha thamani yake ya fedha, na hiyo inasababisha bidhaa za Marekani kuonekana aghali sana. Japan imekataa kuwa huwa haishushi thamani ya pesa yake.

4. Kwa America, ameweka kodi ya 25% ya bidhaa kutoka Canada na Mexico. Canada imesema na yenyewe italipiza kisasi.

5. Kwa Dunia, Trump ameiondoa USA kwenye uwanachama wa WHO, anafikiria kuiondoa USA kwenye Umoja wa mataifa na taasisi zake zote.

Wachambuzi wa mambo wanasema kuna dalili ya Trump na Putin kutengeneza umoja wao. Lengo ni kuifanya Dunia nzima kuwa chini ya mataifa haya yenye nguvu za kijeshi, Marekani na Russia.

Dunia ijiandae kwa mpangilio huu mpya wa Dunia unaoweza kutokea ambao utakuwa wa block ya mataifa makubwa mawili ya Dunia, dhidi ya China na mataifa madogo madogo.
Ngoja tuone kama atafanikiwa....
 
Ma sniper wapo wanatesti mitambo mkuu, Nadhani mara hii ya pili hawawezi kufanya makosa kama yale waliofanya wakati ule wa kwenye kampeni🤣🤣.
Hili kila mmoja analiona likija labda kama ya kwanza ilikuwa ni usanii 😄 🤣
Ila ya pili itakuwa kweli
 
Marekani isipoangalia itajipiga pini yenyewe.
.asipokua makini dolla itashuka euro,pound yen zitapanda kwa kasi.
mtu anapata utajili %kubwa anategemea kuungwa mkono na masikini. sasa yeye anawanyanyapaa masikini basi ajiandae kipolomoka tu.
Kisha jipiga pini mwenyewe, haiwezekani ugombane na mataifa makubwa kwamba ndo sera ya MAGA. Uchumi wa Marekani hauzunguki ndani ya Marekani pekee, Musk amedrop kutoka 400b to 350b kwa kusisia bidhaa zake hasa Tesla kwenye mataifa ya europe.
 
Trump hajielewi. Hajui kuwa anaowachachafya wameshika mpini. Siku wakija pamoja na kuipiga teke dola yake uchumi wao utashuka kwa kasi ya hatari.
 
Marekani isipoangalia itajipiga pini yenyewe.
.asipokua makini dolla itashuka euro,pound yen zitapanda kwa kasi.
mtu anapata utajili %kubwa anategemea kuungwa mkono na masikini. sasa yeye anawanyanyapaa masikini basi ajiandae kipolomoka tu.
Nashangaa wataalam wa uchumi wa usa wanadhani eti anafanya kitu cha maana sana .. siku wakija kugundua inflation itsluwa 40%
 
Kwa Africa yuko sawa kabisa, ila Jambo ili asiumize wengi ni kupiga marufuku viongozi wa Africa na familia zao kuingia USA na Ulaya.
Atusaidie pia kuzuia hela zote zenye uhusiano na viongozi wa Africa zilizowekwa USA na ULAYA.

Mwisho kabisa aangalie namna ya moja Kwa moja kusaidia waAfrica masikini moja Kwa moja kupitia taasisi za USA na sio kupitisha hela kwenye mikono ya manyang'au.
 
Kwa Japan na Ujerumani Trump asijitoe akilia maana uoga wa USA na Ulaya ndio uliyafanya hayo Mataifa kuwa mataifa rafiki kuyalinda na kuyapa msaada ili yasijihusishe na masuala ya vita lengo ni kuogopa kitisho ya hayo Mataifa yakiachwa yenyewe yajilinde.

Japs hata wakinyimwa msaada Wana uwezo wakutulia na kurudisha heshima yao iliyopotea toka enzi za Kamikaze.
 
Ndo hivyo kuna siku usa itajilauma kwa hil swala huko mbele
 
Rais Trump ameendeleza ubabe na kuendelea kupunguza mahusiano ya Marekani na mataifa mbalimbali:

Marekani, chini ya Trump, kwa muda mfupi imejenga mazingira ya kupunguza mashirikiano dhidi ya mataifa ya Ulaya, Asia, America na Afrika.

1. Kwa Afrika, Trump amefuta misaada.

2. Kwa Ulaya, Trump amejiondoa kuisaidia Ukraine kwenye vita yake dhidi ya Mvamizi Russia.

3. Kwa Asia, Trump aliongeza kodi kwa 10% kwa bidhaa zote toka China, na sasa ameongeza tena 10%; kwa hiyo ni ongezeko la 20%. China imesema ipo tayari kujadiliana na USA kuhusu kodi, lakini haitakubali kuburuzwa. Trump pia ameionya Japan kuwa inashusha thamani yake ya fedha, na hiyo inasababisha bidhaa za Marekani kuonekana aghali sana. Japan imekataa kuwa huwa haishushi thamani ya pesa yake.

4. Kwa America, ameweka kodi ya 25% ya bidhaa kutoka Canada na Mexico. Canada imesema na yenyewe italipiza kisasi.

5. Kwa Dunia, Trump ameiondoa USA kwenye uwanachama wa WHO, anafikiria kuiondoa USA kwenye Umoja wa mataifa na taasisi zake zote.

Wachambuzi wa mambo wanasema kuna dalili ya Trump na Putin kutengeneza umoja wao. Lengo ni kuifanya Dunia nzima kuwa chini ya mataifa haya yenye nguvu za kijeshi, Marekani na Russia.

Dunia ijiandae kwa mpangilio huu mpya wa Dunia unaoweza kutokea ambao utakuwa wa block ya mataifa makubwa mawili ya Dunia, dhidi ya China na mataifa madogo madogo.
Ila sisi wagalatia wenzie si tutapeta?
 
Ndo hivyo kuna siku usa itajilauma kwa hil swala huko mbele
Hakuna kijilaumu,utajilaumu wewe na africa yako isiyojitambua,ila waamerika wanamwelewa na wanaendelea kumuamini na watanufaika sana.
 
Trump ana akili sana. Hivyo ambavyo USA walikuwa wanafanya havikuwa na sustainability ya muda mrefu. Anaondoa ujinga kuja kwenye ukweli. Ila mijinga itasema eti uhusiano hahaha. Let America nayo aifanye iwe yenye ushindani
China akisimama na dunia USA atasurvive vp ?
 
Back
Top Bottom