unataka Trump akupiganie ww kilema ? au unaogopa virungu?Kwa Africa yuko sawa kabisa, ila Jambo ili asiumize wengi ni kupiga marufuku viongozi wa Africa na familia zao kuingia USA na Ulaya.
Atusaidie pia kuzuia hela zote zenye uhusiano na viongozi wa Africa zilizowekwa USA na ULAYA.
Mwisho kabisa aangalie namna ya moja Kwa moja kusaidia waAfrica masikini moja Kwa moja kupitia taasisi za USA na sio kupitisha hela kwenye mikono ya manyang'au.