The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Us hawezi fabya kitu bwana Putin kaweka macho apoRais Donald Trump amesema Marekani haihusiki katika vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran.
"Marekani haikuwa na uhusiano wowote na shambulio dhidi ya Iran, usiku wa leo," Trump amesema katika chapisho kwenye jukwaa lake la Truth Social platform.
Iran imeionya Marekani na washirika wake kutoisaidia Israel kuzuia mashambulizi yake ya kulipiza kisasi.
"Ikiwa tutashambuliwa kwa namna yoyote na Iran, mutakabiliana na nguvu kamili na nguvu ya wanajeshi wa Marekani katika viwango ambavyo havijawahi kuonekana," Trump ameongeza. "Hata hivyo, tunaweza kufikia makubaliano kwa urahisi kati ya Iran na Israel, na kumaliza mzozo huu wa umwagaji damu
Putin anayejinyea Kwa Ukraine miaka 4 mpaka kuazima askari Korea au🤣🤣🤣🤣🤣🤣Us hawezi fabya kitu bwana Putin kaweka macho apo
Mmeo US kasha waambia russia ajqtumiq hata 15% ya nguvu zake ila mnakaza fuvuPutin anayejinyea Kwa Ukraine miaka 4 mpaka kuazima askari Korea au🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hasira za nini Sasa mzee unalipwa nini hapa🤣🤣🤣🤣🤣Mmeo US kasha waambia russia ajqtumiq hata 15% ya nguvu zake ila mnakaza fuvu
Iran alichelewa kupigwa, na kumpiga sasa sio rahisi. Akiona anaelekea kushindwa ataangamiza vinu vya nuclear vilivyopo Israel jambo ambalo ni hatari kwa waisrael.Iran wanatakiwa wapigwe ili wastaarabike waanze kilimo.
Duh!Iran alichelewa kupigwa, na kumpiga sasa sio rahisi. Akiona anaelekea kushindwa ataangamiza vinu vya nuclear vilivyopo Israel jambo ambalo ni hatari kwa waisrael.
Eti atalipua vinu vya nuclear kwahiyo yeye vya kwake Israel hawezi kulipua🤣🤣🤣🤣Iran alichelewa kupigwa, na kumpiga sasa sio rahisi. Akiona anaelekea kushindwa ataangamiza vinu vya nuclear vilivyopo Israel jambo ambalo ni hatari kwa waisrael.
Naona unacheka kwa kejeli.Eti atalipua vinu vya nuclear kwahiyo we unajua sana kuliko yahufi🤣🤣🤣🤣
Mwambie alipue sasa hivi kama huo uwezo anaoIran alichelewa kupigwa, na kumpiga sasa sio rahisi. Akiona anaelekea kushindwa ataangamiza vinu vya nuclear vilivyopo Israel jambo ambalo ni hatari kwa waisrael.
Hana kitu mdomo tuu, F15 zinaingia Tehran na kutoka zinavyotakaIran alichelewa kupigwa, na kumpiga sasa sio rahisi. Akiona anaelekea kushindwa ataangamiza vinu vya nuclear vilivyopo Israel jambo ambalo ni hatari kwa waisrael.
Hata nikimwambia huku hatanisikia Wala kusoma maandishi yangu.Mwambie alipue sasa hivi kama huo uwezo anao
sawa mkuu.Hana kitu mdomo tuu, F15 zinaingia Tehran na kutoka zinavyotaka
Us hawezi fabya kitu bwana Putin kaweka macho apo