Trump apewe nuclear codes

Mkuu potezea bwana, haya mambo yakuzogomana humu sio, mnaishusha hadhi jf na kuna watu wanapumua wakiona mnapigana vigimbi nyie kwanyie, mkuu potezea, tumuepuke sheitwaaaani
 
Mkuu Elungata tusiaibushane huju, potezeeeni haya mambo yakugombana sio, mpisheni sheitwani apite
 
Mkuu potezea bwana, haya mambo yakuzogomana humu sio, mnaishusha hadhi jf na kuna watu wanapumua wakiona mnapigana vigimbi nyie kwanyie, mkuu potezea, tumuepuke sheitwaaaani
Mkuu ni swala la kuelimishana tu ,niki log off Jf haya yanabaki hapa
 
like Hollywood movie, calculated lie
 
The bold ndio kakopi kwa mtoa mada
 
Nimekuelewa mkuu lakini ile thread ya humu si kama imefutwa no lipo na linaendelea na ratiba yake kama kawaida tofauti ni kwamba kule itakuwa (hajaanza kutuma) 4times/week sasa labda kiherehere changu ndo kimeleta yote haya hesabu ni kiasi gani tunapoteza kwa vitu vya kipuuzi? mm ni mpenzi wa kwenda bar lakini nimepiga hesabu kule hadi nipate stimu natumia 20000 per day kwa week naenda mara hata 3 siku za kawaida weekend ndo bili inaongezeka..
Huoni kuwa nasave chochote nikikaa home najisomea mwezi mzima au napiga vyombo mara 2 kwa wiki tena kwa spdi ndoogoo maana nipo bize na simu kwa mtonyo wa buku 5 tu?
Please mtumie jamaa namba akuunge ili twende pamoja
 
Kwanza ujue inatakiwa tuwe na uhakika kuwa dogo kaitoa kwa the bold, je kama yeye alikuwa second hand!!? Kama naye alifowardiwa watsapp.
Yaan jambo dogo limekuwa kubwa kweli kweli
Ningemuona The bold ana hekima kama angemuuliza mleta mada ''Mkuu mbona huja ni acknowledge kama mtunzi wa story?'' au angesema chochote kuonesha mwandishi wa story ni yeye na sii kufura povu kama alivyofanya.
 
Nikuulize swali yeye the bold alisema anandika hiyo makala kwa msaada wa vyanzo gani!!?

Mi nisha kuwepo chuo kikuu, na hata kazi ya the bold kwa kichuo chuo tungesema ame pragialize kwa kuwa lazima kafanya literature review, na hakuna sehem anayo acknowledge.

Mimi sina shda na yoyote na the bold wala mwandishi, kwani kilicho tokea ni kosa kweli ila ni kosa la kawaida hasa kwa jf. Na naona ililetwa kwa lengo la kupeana elim.

Whether i can write it or not, sioni haja ya kumshambulia jamaa utafikiri the bold ali alizitoa info sayari ya Mars. Huyo dogo mwenyewe hakuleta kwa lengo baya wala nn, ila nikashangaa anaanza tu kushambuliwa.

Na sina wivu wowote pia sina unafiki natoa maoni yangu kwa nilivo iona situation.
 
Ningemuona The bold ana hekima kama angemuuliza mleta mada ''Mkuu mbona huja ni acknowledge kama mtunzi wa story?'' au angesema chochote kuonesha mwandishi wa story ni yeye na sii kufura povu kama alivyofanya.
Yes
Aliwaka sana na ile haikuwa poa, pia the bold ni mtu mzuri tu, ila ameshindwa ku handle criticism. Jambo ambalo mi sjaona kama ni poa.
 
Yes
Aliwaka sana na ile haikuwa poa, pia the bold ni mtu mzuri tu, ila ameshindwa ku handle criticism. Jambo ambalo mi sjaona kama ni poa.
Ukisema hivyo atakwambia wewe ni hater, yaani huyu jamaa hatofautiani sana na Mtukufu wetu. Inaonekana hapendi kukosolewa ila ni kusifiwa tu.

Kuna maendeleo ya mtu yanakuja bila kukosolewa? watu wamem-criticize kwa maana amereact kwa jazba sana kwenye issue ndogo kama hii......BTW naamini atakuwa kajifunza kitu.
 
Mkuu ingekuwa na ukimalizia na wale niliowakwaza wanisamehe kwani nami ni binadamu ingekuwa poa sana kamanda
 

Hapana mkuu naamini haja jifunza kitu na ata zidisha kuwa hivo alivo.
Yeye anaona kila alicho fanya ni sahihi, pia watu wanao mzunguka wana mjaza upepo
Nadhani hakuwahi kupingwa ana hisi tunao pinga reaction yake tuna wivu.
Bado naona the bold hajazoea kubishiwa, naona washabiki wake pia wanaharibu kiania fulani hapa.
 
Dah! jamaa kaonesha reaction kubwa kuliko stimuli, mbaya zaidi ni chain ya negative reactions.

Kwenye mind yake keshakariri kila anayempinga ni hater, mtu kama huyo unamwaacha tu.
 

Bu'yaka aliwahi kumkosoa kuhusu hayo mambo.

Jamaa [Bu'yaka] alikuwa na hoja ya msingi kabisa ila alichokosea ni namna ya kuiwasilisha.

Binafsi sikuona kama aliiwasilisha vyema. Lakini hoja yake ilikuwa na merit.

Ingia hapo uone: Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…