Trump apewe nuclear codes

Trump apewe nuclear codes

Heh hehee! nilizungukwa demu na huyo jamaa? demu yupi huyo?

Sijawahi kufikiria kuhusu demu wa JF hata siku moja, kama yupo a screenshot PM aweke hapa.Maana nadhani ndo zitakuwa fikra za wengi.
Cha kuwaambia ni ''Muwe mnamshauri huyo mtukufu wenu'' panapotokea pa kusifiwa au kukosolewa apokee kwa mikono miwili.
Mtukufu...??

Basi sawaa wewe wasema tusije anza lugha mbaya mida vyombo hii



Pambaneni.na hali yenu nami.napambana na.hali yangu



Sijui hii nakala ikiisha mtasem jamaa kakcopy

Anyway
Uzi wenyewe ushaharibika anajadiliwa the bold badala ya kichwa uzi...
 
Aiseeeeeeeee sikuwahi kufikiri kama nyie watu mna chuki kubwa kiasi hiki!
Japo hatufahamiani lakini tumekuwa tukiishi kwa upendo humu kwa kuquoteana na kupeana likes ktk threads mbalimbali kwa furaha kumbe hizi ndio rangi zenu halisi?

Suala la hii mada na case ya kucopy makala kutoka group la WhatsApp linahusiana vipi na mimi au hadi mfikie kumuambia The bold kajawa kiburi cha wanawake?

Hii ni mara ya kwanza yeye kulalamikia suala la makala zake kukopiwa?
Lakini kama ilivyo ada ya mja kunena hamkosi sababu.
Malalamiko yake mengine yaliyopita wapo waliosema anatafuta kick,hivyo hata sasa baada ya yeye kuwa nami sababu zimekuwa mimi ndiye niliyetumia ID yake hapa,anatumia makala zake kama chambo,anajitafutia credits za Ke.
Poor you guys,I used to respect you nikidhani ni watu wa maana kumbe ni wapuuzi fulani wenye wivu na chuki kali.

Mngekuwa maGT wa ukweli mngelumbana hoja kwa hoja bila kuingiza masuala mliyoyaingiza.
Mmejishushia heshima na nimewadharau kupita kiasi.
Hayakuwa malumbano ya hoja bali personal attack.
pole dear naona watu wanamuatack shemela kupitia wewee

binadamu tuna husda

ama kweli huu msemo'nilimuomba Mungu aniweke mbali na maadui zangu ghafla nkaanza kupoteza marafiki zangu kumbe kweli'

haya ni machache mengi yaja
 
Mkuu nimeshangaa sana,mtu anatoa malalamiko yake wanakuja watu wanamshambulia na kumkejeli.
Hata hivyo hii imekuwa nafasi nzuri ya kuwatambua wenye chuki na wivu waliokuwa wanajiweka kama watu wema.
Hakika ubaya haujifichi,na unafiki hauna siri...utajidhihiri wakati ukifika.
Nilidhani na nimekuwa nikiamini JF ni ya watu waliopevuka kiakili kumbe ni tofauti kabisa.
So sad indeed.
Nimekuwa dissapointed sana, bora wangekuwa members wengine sio hao wawili niliokuwa nikiwaona kama watu makini.
Nifah I wanna tell u this,hv ndivyo watu tulivyo machoni na tofauti I know its not the first time to be dissapointed with jf members..right??!!

unajua mwenyewe vzr!!

hebu shikaneni imara Jambo la kheyr lazima liwe na Shari!
 
Na wewe uliandika ulipoitoa?japo hii si makala.ni post kama post nyingine.makala unatakiwa ukae chini utulie.ndo uandike.
Ndio maana nilvo ikuta fb skutoa povu. Nilichill tu hayo ni maarifa tuna share.
Its alryt guyz, hebu tuache maisha yaendelee
 
Ah ah ah ah ah ah we jamaa fala kweli umewapa za uso huku unatabasamu..


Wasipo helewa na. Hapa basi wanabeef binafsi

Ila nifan wengi walikuwa wanamtaman naisi...
t[emoji101] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio maana nilvo ikuta fb skutoa povu. Nilichill tu hayo ni maarifa tuna share.
Its alryt guyz, hebu tuache maisha yaendelee
True.na tumuache the bold afanye kazi yake.Sie wengine tubaki wasomaji tupunguze ujuaji.bhas poa.
 
Hahahaaa ndo ivo mkuu, watu wanatengeneza interests hata sehemu isiyokuwa na umuhimu, eti wanatumia fursa😀😀😀😀😀😀😀.......Hizo story za google awatafsirie hao hao aliowateka na wasio na uwezo wa kuzisoma kutoka vyanzo vingine.

Halafu bila aibu kabisa anatokwa povu,.........huyu jamaa kajiondolea credibility aliyokuwa nayo.
In one of your stories The Bold (sikumbuki vizuri ni ipi) uliwahi kuandika kuwa ukitaka kumficha mtu kitu hasa Muafrika ....weka kitu katika maandishi..
Sasa kama wewe huwa unazipata hizi stories( na ninaamin kuwandiko unakozitoa)Google,Wikipedia na vyanzo vngn....accept kuwa hizo sources are universal and open to every one....
Nasema haya sababu there is no any copy right aspect yoyote ambayo ume-acknowledge....hivi vitu vipo na vmeshaandikwa years back...they are not original piece of work from you....unless otherwise this is just a pladgiarism like any other pladgiarism.....
Kama unafikiri kuwa amekuibia kazi yake basi kuna kitu lzm kipo nyuma...BTW i like your stories though nakuwa nmeshazpata from other sources
 
Uandishi ni arts Mkuu

Japo mtu ka copy ambayo nawe ume copy toka reliable source , si vizuri kuwatukana na kuona wenzako ni [ b]ndezi[/b] , jitahidi kuheshimu mawazo ya watu hata kama wamekuchallenge

Huwezi fahamu uwezo wa mtu JF kwa comments zake wengine wako Ku comments pumba lakini majukumu yao katika taifa hili ni mazito na wanajua kila kitu ukiandikacho hata kabla ya mapinduzi ya mitandao Tanzania

Hivyo ,kubali challenge ,

Nakubali unaandika vizuri lakini kubali unachotafsiri kila mtu aliyeenda shule anaweza

Ila uandishi ni Art na wewe hapo umemudu
A lovely gentle comment.....
 
Back
Top Bottom