zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,483
- 1,705
Mtukufu...??Heh hehee! nilizungukwa demu na huyo jamaa? demu yupi huyo?
Sijawahi kufikiria kuhusu demu wa JF hata siku moja, kama yupo a screenshot PM aweke hapa.Maana nadhani ndo zitakuwa fikra za wengi.
Cha kuwaambia ni ''Muwe mnamshauri huyo mtukufu wenu'' panapotokea pa kusifiwa au kukosolewa apokee kwa mikono miwili.
Basi sawaa wewe wasema tusije anza lugha mbaya mida vyombo hii
Pambaneni.na hali yenu nami.napambana na.hali yangu
Sijui hii nakala ikiisha mtasem jamaa kakcopy
Anyway
Uzi wenyewe ushaharibika anajadiliwa the bold badala ya kichwa uzi...