Trump apewe nuclear codes

Wivu unawapendeza zaidi watoto wa kike, je wewe ni ke?

Bungeni kuna wabunge zaidi ya 300 lakini jiulize ni kwa nini wanaoshine hawazidi 20?
 
Wivu unawapendeza zaidi watoto wa kike, je wewe ni ke?

Bungeni kuna wabunge zaidi ya 300 lakini jiulize ni kwa nini wanaoshine hawazidi 20?
 
Mkuu ulinuia kuni-quote mimi au umechanganya mafaili kidogo?
 
Naomba niwe mfuasi wa simulizi zako mkuu.
 
Nifah I wanna tell u this,hv ndivyo watu tulivyo machoni na tofauti I know its not the first time to be dissapointed with jf members..right??!!

unajua mwenyewe vzr!!

hebu shikaneni imara Jambo la kheyr lazima liwe na Shari!

Sis darling, thank you.
Thank you for always been here for me.
Thank you for always having my back.

Najua mpenzi wangu,hii sio mara ya kwanza lakini kila dissapointment ina maumivu yake.

Tupo imara sis, In Shaa Allah tutalifikia lengo.
[emoji120] [emoji8]
 
kuna mdau kakwambia ujue kutofautisha mapenzi na vitu vingine..

sio kila sehemu unajibebisha tu
 
worry out!!babes...

ur warmly welcome!!!

stay strong Mungu yupo atakupigania!

kueni na subira
 
Kwa hiyo nawe ushawahi kunakili maandiko ya watu bila kusema ulikoyatoa?

Plagiarism is major scourge.

[emoji23] [emoji23]
Hahahaha
Yes lakin mi wala sku toa povu nilipo iona fb
Na sikutaka kuandika academic paper so nilikuwa natoa elim tuu. Yaan andiko la jf au whatsup linitor jasho hivo!!
 
Hahahaha
Yes lakin mi wala sku toa povu nilipo iona fb
Na sikutaka kuandika academic paper so nilikuwa natoa elim tuu. Yaan andiko la jf au whatsup linitor jasho hivo!!
Alaaa kumbee....

Ila attribution ni muhimu sana kwa kweli.

Can't stress it enough.....
 
Usijali Mkuu.. Tuko Pamoja!

no hard feelings..
Ila pamoja na comments zooooteee....mkuu The Bold umeonesha sign kubwaaA sn ya Maturity.......humjibu mtu kwa maana ya kujibu...all in all ht km ni kutafsiri tuu ambako watu wanabeza...sio kitu kdg.....cha msingi cha kuwauliza wadau....Je,ni kweli kuwa hizi stories anazotafsiri The Bold zingekuwa na utamu ule ule kama ambavyo tungezipata from original source??
 
Teh teh teh...haya bibie.

Ila wewe nadhani uko mwaminifu.

Sijawahi kukuona popote pale humu JF ukiwa intellectually dishonest.

Massive big up.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante sana!

huwaga sizipendi hizo mm

moyo wangu uko tofauti

Mimi ni mtu wa kucheka na kufurahi mnooo!!

naamini jf ni ndugu zangu pia tena wa karibu mnoo

mawazo yao yananijenga sana!

nawapenda wote

huwezi amini'nikikwazana humu na mtu hua naumia km yupo karibu yangu'
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…