Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wivu unawapendeza zaidi watoto wa kike, je wewe ni ke?In one of your stories The Bold (sikumbuki vizuri ni ipi) uliwahi kuandika kuwa ukitaka kumficha mtu kitu hasa Muafrika ....weka kitu katika maandishi..
Sasa kama wewe huwa unazipata hizi stories( na ninaamin kuwandiko unakozitoa)Google,Wikipedia na vyanzo vngn....accept kuwa hizo sources are universal and open to every one....
Nasema haya sababu there is no any copy right aspect yoyote ambayo ume-acknowledge....hivi vitu vipo na vmeshaandikwa years back...they are not original piece of work from you....unless otherwise this is just a pladgiarism like any other pladgiarism.....
Kama unafikiri kuwa amekuibia kazi yake basi kuna kitu lzm kipo nyuma...BTW i like your stories though nakuwa nmeshazpata from other sources
Bungeni kuna wabunge zaidi ya 300 lakini jiulize ni kwa nini wanaoshine hawazidi 20?