Kaka Elungata,
In Intellectual Property Law we don't protect the idea itself.
But the Expression of idea and Intellectual Novelty.
Mkuu
The bold anachokifanya hapa ni haki yake kabisa kisheria.
THE COPYRIGHTS AND NEIGHBOURING RIGHTS ACT OF 2006 inayasema haya yote.
Hizi ni tofauti ndogo na wala tusilumbane mkuu wangu,
Japo Mkuu The Bold naye amelichukulia hili swala kwa uzito sana kiasi kwamba anahisi kila mtu ni adui.
Mdogo wangu
kichakaa man njoo uombe msamaha kwa The Bold haya mambo yaishe na tuanze Juma na Mungu.