Trump aposti video clip akiwanyea waandamanaji vichwani

Trump aposti video clip akiwanyea waandamanaji vichwani

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Rais wa Marekani amewajibu waandamanaji wa Hakuna Wafalme Marekani kwa kuposti video akiwa ndani ya ndege akiwanyea mavi waandamanaji waliokuwa katika maandamano hayo.
 
Bora trump aisee, Biden aligeuza Dunia kuwa ya ushoga na usagaji. Bora trump mara m100
Kwahiyo uko radhi uongozwe na kichaa au mwendawazimu, kuliko Shoga au msagaji mwenye utimamu was akili na ubongo?

Kazi ipoo.
 
Mara nyingi nimesema huyu ni mgonjwa wa akili.
Shauri zao wanachagua kichaa kaka vioe hawana akili nuema. Actually katika mataifa ya hovyo, USA is leading ukiacha Urusi na China....
Mna maana gani?

How uwe rais wa USA then uwe kichaa? uwe na ugonjwa wa akili?

Au mnaiona USA n kama Bongo hata mbuzi anaweza kuwa rais.
 
Video nliiona Reddit sikuielewa nkajua ni wameedit tu ila kama ni yeye safi sana maana pande zote zimepewa chance ya kujieleza, wengine wamejieleza kwa maandamano mwingine kajieleza kupitia video.
 
Bora trump aisee, Biden aligeuza Dunia kuwa ya ushoga na usagaji. Bora trump mara m100
Waziri wa fedha wa Marekani wa sasa Scott Bessent ni shoga, Mashoga wengi tu wamefunga ndoa na wanaendelea kufunga ndoa katika hotel za Trump kuanzia Mar a Lago
 
Rais wa Marekani amewajibu waandamanaji wa Hakuna Wafalme Marekani kwa kuposti video akiwa ndani ya ndege akiwanyea mavi waandamanaji waliokuwa katika maandamano hayo.
View attachment 3490997
Angalia video, huyo mtu wa kwanza kunyewa mavi ni content creator kutoka Tiktok, anaitwa Harryjsisson aliwahi kumponda Trump kuwa anapost AI videos badala ya kusuluhisha matatizo ya nchi. So Trump ameamua kumuhusisha kwenye video yake mpya kuwa anamnyea mavi
Angalia hii video utaelewa

View: https://vm.tiktok.com/ZMAVNUQgd/
 
Ni aibu babu mzima Rais wa Taifa namba moja duniani kubishana mtandaoni na GenZ kwa video na posti za hovyo.
 
Ni aibu babu mzima Rais wa Taifa namba moja duniani kubishana mtandaoni na GenZ kwa video na posti za hovyo.
Trump hajiheshimu, ana mambi ya kitoto na ana jeuri sana. Ila vyovyote vile, at least sio fisadi. Hela anazo tayari
 
Back
Top Bottom