Trump aposti video clip akiwanyea waandamanaji vichwani

Trump aposti video clip akiwanyea waandamanaji vichwani

Waziri wa fedha wa Marekani wa sasa Scott Bessent ni shoga, Mashoga wengi tu wamefunga ndoa na wanaendelea kufunga ndoa katika hotel za Trump kuanzia Mar a Lago
Kwanza ushoga una tatizo gani? Si muelekeo wa kingono, km ilivyo kwa walio nje ya ushoga na uelekeo wao was kingono..
Bongo jau sana.
 
Trump hajiheshimu, ana mambi ya kitoto na ana jeuri sana. Ila vyovyote vile, at least sio fisadi. Hela anazo tayari
Kwa standard za kibongo anaweza kuwa sio fisadi ila kwa huko US yeye anaweza kuwa ndiye Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Marekani, hapo juzi tu Wamarekani walikuwa wakipiga kelele Qatar kupewa kituo cha kijeshi Marekani baada ya kumpa zawadi ya ndege, Trump ametajirika zaidi baada ya kutumia Ofisi ya rais kuuza bitcoin zake na bidhaa mbalimbali za kwake na familia yake kinyume na kanuni za maadili ya uongozi.
 
Ndio maana CCM inaendelea kuwapakata karne zote.
Ajenda kuu ni kuwa kwenye nafasi kwa namna yoyote ile iwe legally/illegally, hii inapelekea kuwepo na vi ajenda vidogo vidogo kuficha ajenda kuu n.k​
 
Wanyeeeee Babu Tena tumuongezee mapapai mbolea ishuke kwenye vichwa
 
Back
Top Bottom