Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Ajenda kuu ni hiyo ila inakuwa imefichwa kwenye vi ajenda vidogo vidogo.Ndicho walichokuwa wanadai waandamanaji wa "No Kings" ?
Ajenda kuu ni hiyo ila inakuwa imefichwa kwenye vi ajenda vidogo vidogo.Ndicho walichokuwa wanadai waandamanaji wa "No Kings" ?
Kwanza ushoga una tatizo gani? Si muelekeo wa kingono, km ilivyo kwa walio nje ya ushoga na uelekeo wao was kingono..Waziri wa fedha wa Marekani wa sasa Scott Bessent ni shoga, Mashoga wengi tu wamefunga ndoa na wanaendelea kufunga ndoa katika hotel za Trump kuanzia Mar a Lago
Kwa standard za kibongo anaweza kuwa sio fisadi ila kwa huko US yeye anaweza kuwa ndiye Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Marekani, hapo juzi tu Wamarekani walikuwa wakipiga kelele Qatar kupewa kituo cha kijeshi Marekani baada ya kumpa zawadi ya ndege, Trump ametajirika zaidi baada ya kutumia Ofisi ya rais kuuza bitcoin zake na bidhaa mbalimbali za kwake na familia yake kinyume na kanuni za maadili ya uongozi.Trump hajiheshimu, ana mambi ya kitoto na ana jeuri sana. Ila vyovyote vile, at least sio fisadi. Hela anazo tayari
Kwani Trump ni mwendawazimu?Kwahiyo uko radhi uongozwe na kichaa au mwendawazimu, kuliko Shoga au msagaji mwenye utimamu was akili na ubongo?
Kazi ipoo.
Ndio maana CCM inaendelea kuwapakata karne zote.
Zaidi ya Mwendawazimu.Kwani Trump ni mwendawazimu?
Kwa nini Trump ni mwendawazimu?Zaidi ya Mwendawazimu.
Trump anafanya mambo km vile hayuko timamu kichwani..Kwa nini Trump ni mwendawazimu?
Na kwa nini Biden ndio ana akili timamu?
Unamaanisha AI?
SawaTrump anafanya mambo km vile hayuko timamu kichwani..
Biden anafanya mambo km vile yuko timamu kichwani.
A thousand times.Kwahiyo uko radhi uongozwe na kichaa au mwendawazimu, kuliko Shoga au msagaji mwenye utimamu was akili na ubongo?
Kazi ipoo.
Makubwaa!!A thousand times.
Ndiyo, Kwangu mimi kichaa au mwendawazimu asiye shoga au msagaji ni bora mara elfu moja kuliko shoga au msagaji 😬.Makubwaa!!
OukNdiyo, Kwangu mimi kichaa au mwendawazimu asiye shoga au msagaji ni bora mara elfu moja kuliko shoga au msagaji 😬.
Shogha ni laana mkuuKwahiyo uko radhi uongozwe na kichaa au mwendawazimu, kuliko Shoga au msagaji mwenye utimamu was akili na ubongo?
Kazi ipoo.