Trump approves Sh43.5bn arms sale to Kenyan military

Ukiona mtu anafurahia kununua silaha ujue ana matatizo ya akili.Kenya bado wana matatizo ya usalama,na suluhisho sio kununua silaha toka kenya
 
Ukiona mtu anafurahia kununua silaha ujue ana matatizo ya akili.Kenya bado wana matatizo ya usalama,na suluhisho sio kununua silaha toka kenya
Wanafikiri silaha zita maliza shida zao, saa nyingine ukinyoosha mkono ikampa adui yako, uhasama wote unaishia hapo hapo. Inabidi tuwafunze ungwana hawa.
 
Google yangu inaniambia hizi ndege zimeundwa kwa ajili ya umwagiliaji mashamba...ohooo chonde chonde jirani zangu wakenya kuweni waangalifu msije mkazipeleka Mogadishu afu jamaa wakawa wanazitungua kwa mikuki..
ni hayo tu kwa leo
Hahahaha eiiish bro you have made my day..ati mikuki.waaaah..
 
Nimesikia Leo al _shabab wamefanya jambo vipi majirani ndege mpya hazijaanza kazi?
 
Ukiona mtu anafurahia kununua silaha ujue ana matatizo ya akili.Kenya bado wana matatizo ya usalama,na suluhisho sio kununua silaha toka kenya
Ushenzi mtupu,hebu jisikie ulivyo zuzu?....huo usalama utaletwa kwa mikuki?
mmezoea upuzi nyie wanyamwezi sijui wazaramo.
 
Hahaha,Kenya is the A POWERFUL NATION IN AFRICA,watch us keenly!ooh Trump hatakua na uhusiano na Kenya,oooh longolongo.....
Marekani imewatengenezea vita ,nw anawauzia silaha wanaoteseka kila siku ni wakenya trump na familia zao wako nw yrk...halafu wewe sijui unasifia nn
 
Wakenya acheni wenge hizo pesa si bora wangelipwa madaktari walioandamana Kwa kudai nyongeza ya mishahara yao kuliko hizo bagadu
 
Big up sana,,! Bila usalama hata viwanda huwez kujenga,,,,,!
 
Yaani madaktari wamegoma, ma lecturers wamegoma alafu mnapoteza hela kununua masilaha. Mwaafaa
 
Wakenya acheni wenge hizo pesa si bora wangelipwa madaktari walioandamana Kwa kudai nyongeza ya mishahara yao kuliko hizo bagadu
madaktari na walimu walikimbia kule north east sababu ya usalama, hata wewe unafahamu siku zote, usalama kwanza alafu mengine ndo yatawexa fanyika.........
jambo ambalo nimejaribu kuwaeleza pale mwanzoni lakini ni kama hamtaki kuelewa ni kwamba hio pesa imetajwa hapo hailipwi kwa wakati mmoja, nchi za magharibi wakikuuzia kifaa hua wanapiga mahesabu yote ya mpaka ile siku utaacha kutumia hicho kifaa, tofauti na nchi za east kama china na russia, wakikuuzia kitu wanakwambia ile bei ya hicho kitu pekee hawakwambii utahitaji pesa ngapi hapo mbeleni kununua spare au kufanya repair na venginevo..........

ndege zenyewe bila kifaa chochote zinauzwa $4million lakini ukiongeza sensor za kivita, radar, na silaha bei inapanda hadi $10million, kwa ndege 14 hio inakua $140million....... hio ndio pesa tutalipa kupata hizo ndege hapo mwanzoni..... lakini hesabu zimeshapigwa kitujulisha tutatumia pesa ngapi kuzimaintain hizo ndege.......
yani ni kama vile ununue gari la millioni mbili, lakini campuni ya kukuuzia ikwambie mwishowe utawalipa millioni kumi na tano lakini hapo ndani wamepiga mahesabu kama vile kila baada ya miezi mitatu utapeleka wakakugeuzie oil, wafanye marekebisho, kama chochote kimeharibika watakigeuza, na watakufanyia hayo yote hadi ile siku gari inatarajiwa iwe imechakaa kabisa, na hayo yote wakipiga hesabu basi utakua umetumia millioni kumi kuwalipa kwahivyo kabla hata kununua unaeza piga mahesabu ni gari gani halitakukula pesa nyingi huko mbeleni.....
 
Acha huo ujinga... Wanazitumia hzo kama by da way... Siyo main combatant fighter...

Nani kakuambia hizi ndizo main fighter za Kenya!.....kweli mna matatizo ya kiakili..utapia mlo unawadumaza mmekuwa wafupi kwa kila hali ,sio kimo,sio ubongo.
 
Nani kakuambia hizi ndizo main fighter za Kenya!.....kweli mna matatizo ya kiakili..utapia mlo unawadumaza mmekuwa wafupi kwa kila hali ,sio kimo,sio ubongo.
Yaani mi hushangaa sana! our alternative is better than their main war planes!!
 
Wakenya acheni wenge hizo pesa si bora wangelipwa madaktari walioandamana Kwa kudai nyongeza ya mishahara yao kuliko hizo bagadu

Pesa sio shida hapa, ilioshida ni policies according to Salaries and enumeration commission, Ikiwa madakatari watalipwa 300% increase, kila mfanyakazi wa serikali atadai hiyo nyongesa!

sasa sio jambo la pesa tu, ni mpangilio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…